Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,577
- Thread starter
- #181
Wewe uko kundi gn?!
Soka
Pombe
Au nakasalika??!![emoji1] [emoji1]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe uko kundi gn?!
Duuuu huu Moira huu
Shaaaa....[emoji35]Sasa hivi inabidi ulee ndoa...🙂
Afadhali wewe mkuuMimi hua naangalia chumbani kwangu na mke wngu, alikua hapendi lkni cku hizi tunaangalia pamoja anajua mpaka mchezaji kama hafanyi vizuri, utasikia mme wangu leo "martial hayuko vizuri, atoke aingie Rashford"
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole sana
[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Angalia nyumbani mkuu
MmmhNyie mkipendwa sana mnaleta zarau,.. Kwa sa ivi paap kidogo kitamu
So?!
Hiii....!!!! MweeNdo ulivo maanisha,.. Kwa iyo shutup kimyaaa!!
[emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]sanaaaaaaa ata mm sioni haja ya mwanaume maana napenda mpira
Na mwenyewe[emoji4]Na nan?
Uzuri mechi nyingi haziwagi wakati Wa swala.....na hata kama mida itagonga, swala ski 15 zinatosha wakati mpira ni karibu masaa mawili kwahiyo una swali alafu unarudi mpiraniMpira unaweza kukupelekea kufanya dhambi mfano we ni muislam swala inaweza kukupita kwa kunogewa na mpira tu
Hivyo vitu vinatokea mkuu
Fanya iwe siriNa mwenyewe[emoji4]
[emoji23] [emoji23] dooo..!!yaah ukifungwa simba shabiki wa yanga anafurahi dada,then kuna Ku bet me timu yangu aseno anacheza na Madrid nisimpe Madrid nna kichaa?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji134] [emoji15] ndio kina nani hao unaowaita?![emoji87]Mleta mada umeamsha dude yaaan
Courtois
Azp
Luiz
Cahil
Moses
Kante
Bakayoko
Alonso
William
Hazard
Morata
Weleteeeeeeeeeeeee keshioooooo.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
MtuwacheniHusika na kichwa cha habari hapo juu nawauliza nyinyi wanaume hivi kuna nini kitamu kiasi cha kufikia hatua unamuacha mkeo ndani usiku peke yake kalala na ww unaenda mpirani!
Kuna ndoa moja hapa imefungwa kama mwezi mmoja uliopita hivi lakini bwana harusi tangu bado wako fungate anamuacha mkewe anaenda mpirani
Hivi mnataka kunambia mpira ni mtamu kuliko wake zenu?
BADILIKENI WAJAMENI