Wanaume mnaopenda Mpira

Wanaume mnaopenda Mpira

Chukulia tu tangu secondari mnabanjuana, sasa mwezi mmoja wa kwenye harusi ni kitu gani?
 
Mpira unaweza kukupelekea kufanya dhambi mfano we ni muislam swala inaweza kukupita kwa kunogewa na mpira tu

Hivyo vitu vinatokea mkuu
Uzuri mechi nyingi haziwagi wakati Wa swala.....na hata kama mida itagonga, swala ski 15 zinatosha wakati mpira ni karibu masaa mawili kwahiyo una swali alafu unarudi mpirani
 
Mleta mada umeamsha dude yaaan
Courtois
Azp
Luiz
Cahil
Moses
Kante
Bakayoko
Alonso
William
Hazard
Morata
Weleteeeeeeeeeeeee keshioooooo.
[emoji134] [emoji15] ndio kina nani hao unaowaita?![emoji87]
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Husika na kichwa cha habari hapo juu nawauliza nyinyi wanaume hivi kuna nini kitamu kiasi cha kufikia hatua unamuacha mkeo ndani usiku peke yake kalala na ww unaenda mpirani!

Kuna ndoa moja hapa imefungwa kama mwezi mmoja uliopita hivi lakini bwana harusi tangu bado wako fungate anamuacha mkewe anaenda mpirani
Hivi mnataka kunambia mpira ni mtamu kuliko wake zenu?

BADILIKENI WAJAMENI
Mtuwacheni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka anaolewa alikuwa hujui kama jamaa ni mpenda mpira??? Pambana na hali yako!!

Yaani unaolewa utafikili umelazimishwa na wazazi kumbe umechagua wewe mwenyewe na unamjua tabia zake usizozipenda!! pambana na hali yako!!
 
Back
Top Bottom