Wanaume mnaotongoza wanawake kwa kigezo cha avatar mnaenda kupigwa na kitu kizito kichwani

Jiwe lilitupwa gizani lakini
 
Kuna wadau wanavutiwa na avatar? Watakuwa na shida si bure.
 
Namna gani vipi unamfata mp public hukoment chochote[emoji23][emoji23] kama scout akiwa anatafta wachezajii
Ahh, lazima kwanza ukomet ili uone reaction zake ndo sasa unazama pm, usije ukajikuta ww ndo unatongozwa

Hii dunia imepinda
 
Inakuwaje huyu choko kila siku usiku mnene yupo macho? Huwa sielewi kabisa
Anafanya shughuli gani?
 
Haswaaaaaah!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…