Wanaume mnaotongoza wanawake kwa kigezo cha avatar mnaenda kupigwa na kitu kizito kichwani

Watanzania tunahitaji kupewa elimu ya akili yaani kufanyiwa saikolojia

Kuna watu naona akili zao haziko sawa jamani sasa kama maisha ndo yanakupiga ndo na akili nayo iyeyuke jamani

#SAVAGE
 
Hawajui ukweli. We waache tu wajiongopee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…