Wanaume mnaotongoza wanawake kwa kigezo cha avatar mnaenda kupigwa na kitu kizito kichwani

Natamani kusema jambo ila ngoja nikae kimyaa
 
Nimejikuta kwenye hizo asilimia za wanaume wa jf mi sipo aiseee daaah
 
Wewe unaona pisi ipo jf na ni mchangiaji kila siku,unategemea iwe pisi kali tangu lini.Pisi nyingi za jf ni jobless,marriageless na beautyless
Huu ni udhalilishaji, ukweli ni kinyume chake na uliyoyaandika hapa.

Wengi sasa hivi hawachangii mada au wanachangia Mara chache sana kwa sababu kizazi kipya cha JF mmekosa adabu na heshima.
 
😂😂😂😂😂
Mleta uzi Faller Sana wewe. Sijui huo uzuri wa mwanamke wewe unauchukuliaje???
 
Apo kwenye kubeti umewatugusa wengi😂😂
 
Wizara ya Mahusiano na Uchumba mko hapa.......

Hili nalo mkalitazme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…