Ukweli mchungu ni kwamba
Wanawake wengi (asilimia kubwa) wa humu jf ni
-Jobless
-Hawana ndoa
-Hawana biashara
-Sio warembo wa sura
-wanakaa bado kwa wazazi wao
Wanaume wengi (asilimia kubwa)wa humu jf
-jobless kama mimi (hatuna kazi rasmi)
-Vipato vyetu ni vya kuunga unga (source moja wapo ya vipato vyetu ni kubeti)
-Tuna wapenzi wengi(wazinzi)
-Tunafake maisha nyuma ya simu
Hivyo basi eee kaka usidanganyike na avatar za hawa dada zetu na ewe dada usidanganyike na maneno ya hawa kaka zenu,Nakazia usivutiwe na maonyesho ya hapa jukwaani.
Hali ni ngumu mtaani