Wanaume mnaovaa hivi chukueni maua yenu

Wanaume mnaovaa hivi chukueni maua yenu

Kuna mda ukifika utakua na mtazamo mwingine tofauti na huu , wala sio vibaya ni umri wako t
Nakazia, kuna demu alikuwaga anasema hawez olewa na mwanaume ambaye sio hb, akakutana na hb akammimba na kusepa zake, juz kati nimekutana naye kaniambia anatafuta mzee wa miaka 50+ atulie naye. amechoka, hata sikumuuliza amechoka nn maana nilimwelewa.
 
Back
Top Bottom