Wanaume mnaovaa hivi chukueni maua yenu

Wanaume mnaovaa hivi chukueni maua yenu

Muonekano mzuri sana wanaume wengi tunatamani. Shida iko kwenye kulipa bills na ada za shule kwa watoto. Je tuwape maua yao kwa upande huo pia au tubaki kwenye appearance?
Wafanye vyote
 
Wafanye vyote
Kufanya vyote ni kazi ngumu sana. Kuna uwezekano wa kuwa na muonekano mzuri na pesa pia ila ukakosekana muda wa kuwa na wewe ukawepo muda wa kuwa na yeyote kwa wakati wowote ninaotaka mimi.
 
Mbona wanaume wanaptia wakat mgum Yan had kuvaa mwenyew tupangiwe
Ukifuata tamaa ya mwanamke kuyaishi maisha hii dunia itakuwa mbaya sana kuiishi. Ishi uwezavyo mwanamke ajikute ndani ya mfumo wako
 
Huyu wangu mda wote na vijinsi na tisheti navumilia tu ila napenda mtu smart
 
Kufanya vyote ni kazi ngumu sana. Kuna uwezekano wa kuwa na muonekano mzuri na pesa pia ila ukakosekana muda wa kuwa na wewe ukawepo muda wa kuwa na yeyote kwa wakati wowote ninaotaka mimi.
Hakuna kitu kigumu chini ya jua
 
Mnawachanganya sasa,,wavae hivi,wapake mkongo au watafte pesa!!!?🙄
 
IMG-20240418-WA0002.jpg
 
Mavazi hata kasuku anayo

SISI TWATAKA PESA.

Tutawavua hizo nguo tuuze?

We njoo hata uchi uje na kibunda tu
Huyo aliyesema ni mshangazi mwenzio, sema yaonekana yy mshangazi ila ana pesa, tofauti na lishangazi ww.

We wataka pesa tu, tutakupeleka guine
 
Of course namba nane uyo kawaka, code ni nzuri kama ulivoeleza.....
 
mavazi yenyewe hayawezi kaa kama hakuna factors nyingine.

asa mwanaume ni mwembamba kama mimi afu haendi hata gym, hana mkono wa biceps wala triceps, wala bega, kupata nguo nzuri nimegundua ni uongo.

The Good Outfits dress will also determine na body unavoweza kushape, kuna vitu vidogo watu wanavidharau lakini ni vitu precious.

Anyway itadepend na mawazo ya mtu, hakuna anayeweza kupangia mtu style ya kuishi ikiwa yeye anajua ni nini anahitaji na kupenda katika maisha...
 
Back
Top Bottom