Thebroker
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,334
- 5,829
30k inamtosha as odometer mpaka Jana Ilikua inasoma km300,000bei elekezi n sh ngap madam😋😋😋
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
30k inamtosha as odometer mpaka Jana Ilikua inasoma km300,000bei elekezi n sh ngap madam😋😋😋
Huu ndo ukwel😂Movie za kikorea zimekuharibu
🤨🤨🤨🤨Idiot
kama ndio hivi basi nakaribia kumgongea mtu mke wake maana ndio pigo zangu hizi , au ndio maana vibinti vya kanisani vikimaliza ibaada vinanifuataga kunisalimia?Wanaume mnaovaaga hivi chukueni maua yenu 💐💐💐💐 mnapendezaga sana mnakua sexy.
Hapa wanalengwa wanaume warefu wembamba wasio na kitambi. Kama wewe una kitambi au mfupi alafu unavaa ivi haya maua hayakuhusu pita hivi ↪️
Unaishi zama zipi mbona kama upo outdated sana.....Mtofautishe wavulana na wanaume. Hapo kuna wavulana, sio wanaume.
Wanaume hawana definition, ni self descriptive, ila hivyo mnavyoviongelea hapa ni viboyUnaishi zama zipi mbona kama upo outdated sana.....
Wanaume ni wapi ni wale wavaa vibukta na sandles au ni hawa????
Au unamaanisha ni wale wajomba wajomba wavaa jezi za taifa stars week nzima, alafu chini ni yebo yebo 😅
OKay kila mtu aishi atakavyo na apendavyo.Wanaume hawana definition, ni self descriptive, ila hivyo mnavyoviongelea hapa ni viboy
Ndio umegundua hilo sasa hivi, rudi hapa, bado hatujamaliza..OKay kila mtu aishi atakavyo na apendavyo.
Hizo nguo zina vinasaba vya upinde , angalia sana😂😂Nishadanlod hizi sambo nimejua GenZ mnapenda wababa tuvae hivi haya nitaenda gsm shop kesho
Na vile vikaptula.Hizo nguo zina vinasaba vya upinde , angalia sana😂😂