Wanaume mnaovaa hivi chukueni maua yenu

Hawa unaopendekeza wapewe maua wana hatari sana wakikutana na wale watu wasiojulikana. Mmoja tu anatosha kuwapeleka kusikojulikana.
 
Imagine mkeo anachepuka kisa kapata jamaa anavaa hivi et analook sexy πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ sema akili za kike ni vichekesho!
 
ku-Look sexy...??? πŸ˜†πŸ˜† That's funny

Kuna husiana vipi na kufikia malengo yako?
 
kama ndio hivi basi nakaribia kumgongea mtu mke wake maana ndio pigo zangu hizi , au ndio maana vibinti vya kanisani vikimaliza ibaada vinanifuataga kunisalimia?
 
Mtofautishe wavulana na wanaume. Hapo kuna wavulana, sio wanaume.
Unaishi zama zipi mbona kama upo outdated sana.....

Wanaume ni wapi?
Je ni wale wavaa vibukta na sandles au ni hawa????

Au unamaanisha ni wale wajomba wajomba wavaa jezi za taifa stars week nzima, alafu chini ni yebo yebo πŸ˜…
 
Unaishi zama zipi mbona kama upo outdated sana.....

Wanaume ni wapi ni wale wavaa vibukta na sandles au ni hawa????

Au unamaanisha ni wale wajomba wajomba wavaa jezi za taifa stars week nzima, alafu chini ni yebo yebo πŸ˜…
Wanaume hawana definition, ni self descriptive, ila hivyo mnavyoviongelea hapa ni viboy
 
Nishadanlod hizi sambo nimejua GenZ mnapenda wababa tuvae hivi haya nitaenda gsm shop kesho
 
Sisi wanaume wafupi na wenye vitambi tunashukuru kwa kumkosoa Mungu ila nawewe pole kwakuwa huwezi hata kuongeza ukubwa wa kisimi chako au unene wa clitoris yako au upana wa mashavu ya mbususu yako tuache na uandunje wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…