Wanaume mnaovaa nguo za ndani nyingi huwa hamhisi fukuto?

Mkuu ni rahisi sana ukisweat kwa kiwango kikubwa,shati kukamatana na mwili,kama haujavaa vest,hata hivyo siyo vema shati likipanda juu ya kiuno,boxer kuonekana,vest inazuia mengi.
 
Tuambie ulikoona hao watu na uvaaji huo
 
Hata mimi siwaelewi, mtu katinga boxer yake(bixe zenyewe kama pensi tuπŸ€ͺ), juu kaweka pensi jekundu la simba, then juu kaweka kadet/jeans...

Unajiuliza sasa hili joto pombou zinapumua kweli?
 
Hata mimi siwaelewi, mtu katinga boxer yake(bixe zenyewe kama pensi tuπŸ€ͺ), juu kaweka pensi jekundu la simba, then juu kaweka kadet/jeans...

Unajiuliza sasa hili joto pombou zinapumua kweli?
Ni mateso na kujitesa sana
 
kwaiyo unatakaje avae trauza bila nguo za ndani au Avae Boxer tu moja na Trauza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…