Wanaume mnaowaachia wake zenu Kazi ya kupeleka Watoto kupanda School Vans alfajiri kuweni makini

Kuna mambo mengi mwanaume halisi anapaswa kuhofu, lakini si haya.
 
Hivi wewe mke wako humridhishi afu anakucheat Nini? Mbona upo so insecure na women mpaka unataka kila mtu amlinde mke wake Kama mfungwa? Mada zako ni about wake za watu kufanya mapenzi and kubanduliwa sijui, huna respect na wanawake as individuals u think of them as toys ndo maana hata demu wako kama unae hakurespect
 
Yako wapi, tukisema wenye ndoa ndiyo wanaongoza maambukizi, msikatae.

Baba hawezi kumpeleka mtoto kupanda school bus maana na yeye anamvizia mama atoke ili ambandue mjakazi.

Inaitwa win win situation.
 
Hahaha
 
Yako wapi, tukisema wenye ndoa ndiyo wanaongoza maambukizi, msikatae.

Baba hawezi kumpeleka mtoto kupanda school bus maana na yeye anamvizia mama atoke ili ambandue mjakazi.

Inaitwa win win situation.
Hahaha
 
Nakumbuka nikiwa mdogo kuna bus driver wa shule niliyosoma alikua anamtongoza mama wa rafiki yangu mmoja, tulikua tukifikia kwenye kituo chao, yule dreva na yule mama walikua wanachekeana, siku moja walibadilishana namba kabisa.... 😂
Eeeh
 
Kizazi hiki kama unaoa we oa tu ili ufuate mkumbo uonekane nawe umeoa, lkn ukweli ni kwamba hivyo vyote anavyokupatia huyo my wife wako basi kuna mjuba nae anampatia hivyo hivyo tena at less cost.
Naam
 
Nilishasema nikiwa na Demu Mweupe halafu ana Shundu ( Inye ) nikisikia kuna Mtu ananibandulia kitakachofuata Kwake ni achague moja tu nimpe Tiketi ya haraka kwenda Kutibiwa ICU Muhimbili au nimuwahishe Makazi yake mapya na ya Milele pale Kinondoni.
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…