RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 4,504
- 8,842
Hakikisha unahemea kwanza utakavyokula mtaani pale kwako ndio unaenda kuvila!!Nimejaribu kuiga lakini nimeshindwa, yaani vile navyokula Kuku Mkavu na Pembeni Mayai ya kuchemsha naanza kukumbuka wanangu na Mke wangu.
Sijajua ni Shetani ananifata data au vipi, hata nililazimisha kula bata bado sipati furaha. Najikuta nabeba kilo zangu za vitoweo napeleka kulia Nyumbani na Mke wangu na wanangu.
Hivi nyie wengine mnawezaje?
Mtaalam tushauri nini kwenye hili taifaTanzania watu wanaoishu kifamilia ni wachache sana
wewe unamjali mumeo kama anavyokujali?Hivi,mimi ninaanzaje kuwafanyia choyo mke na watoto wangu mwenhyewe?Kuichukulia kwanza hata nisipokula nyama/vinono nyumbani kwangu, mbona ofisini ni give nitakula tu kwa bajeti ya ofisi?Watakula kawaida kama mfuko mdogo na si kwa makusudi.Twende mali zaidi.Kuna midingi wakati wa kula inajichagulia nyama wanazodhani ndiyo nzuri zaidi na kuwaachia watoto zilizo duni k.m firigisi,maini n.k.Huo nao ni uzuzu kamili.Tangu utoto wangu nimekula nyama hizo ngapi?Ni muda wa kuwaachia watoto wale3wavipendavyo.Sisi tutakutana navyo baa.
Amina aminaNakubaliana na wewe mtoa mada,kwanza hongera sana kwa kujali familia,hivyo ndivyo baba yoyote mwenye busara,hekima na ukomavu hufanya hivyo.
Ubinafsi ni jambo baya sana,ukiwa mbinafsi huwa unajiangalia wewe tu na katu hujali watu wengine,lakini ukiepushwa na roho ya ubinafsi basi lazima utawajali na kuwakumbuka wengine.
Iko wazi wababa wengi wanakula vizur nje ya nyumba zao,lakini watoto na mke wanachangamoto sana,tubadilike
exactly hii ni elimu ambayo wanaume wote wanapaswa kuwa nayo.Hakikisha unahemea kwanza utakavyokula mtaani pale kwako ndio unaenda kuvila!!
Ukiamka nunua nyama,mayai n.k ndio ukale na hivyo uanvyotaka!!
Halafu ishu sio hiyo,ishu ni pale uatakapokuja kujua kwamba haijalishi juhudi zako zote ulizowahi kufanya kutunza familia lakini mama watoto wako at play down na kukusema vibaya kwa watoto wako!!
Very disappointing!
Timiza wajibu na usitarajie makubwa comrade!!
Hahaha nimechoka sana, asante the morning is goodHivi,mimi ninaanzaje kuwafanyia choyo mke na watoto wangu mwenyewe?Kwanza hata nisipokula nyama/vinono nyumbani kwangu, mbona ofisini ni given,nitakula tu kwa bajeti ya ofisi?Watakula kawaida kama mfuko mdogo na si kwa makusudi.
Twende mbali zaidi.Kuna midingi wakati wa kula na familia inajichagulia nyama wanazodhani ndiyo nzuri zaidi na kuwaachia watoto zilizo duni.Wao hula firigisi,maini n.k.Huo nao ni uzuzu kamili.Tangu utoto wangu nimekula nyama hizo ngapi?Ni muda wa kuwaachia watoto wale wavipendavyo.Sisi tutakutana navyo baa.
Ni u- show off wa kijinga. Hakikisha familia inajitosheleza kabla ya kuzungusha hizo round bar. Soma kidogo kuhusu "opportunity cost ".Nimejaribu kuiga lakini nimeshindwa, yaani vile navyokula Kuku Mkavu na Pembeni Mayai ya kuchemsha naanza kukumbuka wanangu na Mke wangu.
Sijajua ni Shetani ananifata data au vipi, hata nililazimisha kula bata bado sipati furaha. Najikuta nabeba kilo zangu za vitoweo napeleka kulia Nyumbani na Mke wangu na wanangu.
Hivi nyie wengine mnawezaje?
Umesoma nilichokiandika na kuelewa jinsi yangu?Nakuhifadhi yawezekana ni mgeni nami.wewe unamjali mumeo kama anavyokujali?
Hahah kwa hiyo unaamua kujishukuru mwenyeweVery disappointing!
Timiza wajibu na usitarajie makubwa comrade!!
Umeiweka vizuri sana Comrade: SatisfactionKwa mtazamo wangu, mwanaume anayefurahia mafanikio yake pamoja na mke na watoto wake huwa anapata satisfaction kubwa zaidi kuliko yule anayefurahia peke yake.
Hahaha kuna mtu hapo juu amesema ni swala la prioritiesAnayefanya hivyo sio mwanaume. Ni shoga kama mashiga wengine tu..
Ni Kitabu au masala Tu?Ni u- show off wa kijinga. Hakikisha familia inajitosheleza kabla ya kuzungusha hizo round bar. Soma kidogo kuhusu "opportunity cost ".
Jipende mwenyewe comrade, hawana shukrani wenzetu!!Hahah kwa hiyo unaamua kujishukuru mwenyewe
Sometimes hawa wenzetu wanajichanganya sanaJipende mwenyewe comrade, hawana shukrani wenzetu!!
Kabisa they don't care!!
Kuna mjinga mmoja anawaambia watoto wake kwamba "baba yenu kawakataa"wakati huo huo alienda kwa serikali za mitaa nyumba ipangishwe ili apate Kodi za kulea watoto baada ya break up!!
Sasa ni baba yupi aliejenga nae nyumba na ni yupi aliewakataa watoto!!
Sidhani kama suala ni ujasiri pekee, mara nyingi ni tofauti ya vipaumbele na mtazamo wa mtu kuhusu majukumu yake, kuna wanaume ambao wanaamini kwanza lazima familia iwe salama ndipo wao wafurahie kile walichokitafuta, ndiyo maana ukiwa unakula kitu kizuri huku ukijua nyumbani hali si nzuri, dhamiri inakusumbua na furaha inapungua.
Lakini pia wapo wanaotenganisha kabisa matumizi yao binafsi na mahitaji ya familia, kwao, kula nyama au kunywa pombe leo si tatizo hata kama bajeti ya nyumbani ina mapungufu, hapa siyo lazima uwe na moyo mgumu, wakati mwingine ni suala la priorities tu.
Kwa mtazamo wangu, mwanaume anayefurahia mafanikio yake pamoja na mke na watoto wake huwa anapata satisfaction kubwa zaidi kuliko yule anayefurahia peke yake.
niwie radhi kama wewe ni mwanaume. sorryUmesoma nilichokiandika na kuelewa jinsi yangu?Nakuhifadhi yawezekana ni mgeni nami.
Hahahaniwie radhi kama wewe ni mwanaume. sorry
Inasikitisha Sana.Nimejaribu kuiga lakini nimeshindwa, yaani vile navyokula Kuku Mkavu na Pembeni Mayai ya kuchemsha naanza kukumbuka wanangu na Mke wangu.
Sijajua ni Shetani ananifata data au vipi, hata nililazimisha kula bata bado sipati furaha. Najikuta nabeba kilo zangu za vitoweo napeleka kulia Nyumbani na Mke wangu na wanangu.
Hivi nyie wengine mnawezaje?