Wanaume mnapenda kutunzwa sio vizuri jishughulisheni

tecknologia23

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2023
Posts
259
Reaction score
382
Nyie mnapenda kutunzwa kabisa hampendi wajibu wenu . Kama wanaume mjue ni laana kutunzwa mtageuzwa Kwa kupenda dezo

Mtalazimika kuvishwa vikuku miguni,nashangaa kiunoni sio matusi ila nikweli .

Siku njema haya maisha ni yakuangalia sana .

Kila mwanamke anamtu wakeanayejitolea ikiwemo ndugu na wengineo,mtu kAng'aa sio Bure ni mamillioni anatumia
 
Ogopa mwanamke anaesema kung'aa kwake anatunzwa.
Maana ana watu nyuma yake na hauko peke yako.
 
Nyie mnapenda kutunzwa kabisa hampendi wajibu wenu . Kama wanaume mjue ni laana kutunzwa mtageuzwa Kwa kupenda dezo

Mtalazimika kuvishwa vikuku miguni,nashangaa kiunoni sio matusi ila nikweli .

Siku njema haya maisha ni yakuangalia sana .

Kila mwanamke anamtu wakeanayejitolea ikiwemo ndugu na wengineo,mtu kAng'aa sio Bure ni mamillioni anatumia

Ubinafsi umekujaaa kama yeye anakutunza kwanini ww usimtuze

Hii ni type ya wanawake wanao takiwa kuondoka mapema dunian
 
IMG_1472.jpg

Isa 4:1 SUV​

Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu

Kumbe maandiko yanaposema hivi maana yake wanaume wengi watakuwa mashoga alafu sisi wachache tutatafutwa kwa tochi hata mchana wa jua kali 😊
 
Kama ni Haki yenu basi ni Haki pia ugawaji wa mali uzingatie juhudi za watu , haiwezekani mwanamke hafui, hapiki then anataka nusu kwa nusu na kutunzwa juu.
Yes ulikuwa unamla na amekuzalia kufua hata house girl anaweza Hilo
 
Ubinafsi umekujaaa kama yeye anakutunza kwanini ww usimtuze

Hii ni type ya wanawake wanao takiwa kuondoka mapema dunian
Je wewe siuanze pamoja na mama Yako na ukoo wenu halafu jingine nani kasema hutotunzwa kama unatunza ila kama ni mwanamke tu akupe k umzalishe, akulishe akuvishe hii ni mbaya Kodi atoe wewe upo tu hii sio sawa
 
View attachment 2560999

Isa 4:1 SUV​

Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu

Kumbe maandiko yanaposema hivi maana yake wanaume wengi watakuwa mashoga alafu sisi wachache tutatafutwa kwa tochi hata mchana wa jua kali 😊
Umenipa raha
 
Kama kanipenda mimi simpendi?
 
View attachment 2560999

Isa 4:1 SUV​

Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu

Kumbe maandiko yanaposema hivi maana yake wanaume wengi watakuwa mashoga alafu sisi wachache tutatafutwa kwa tochi hata mchana wa jua kali 😊
Naona si unabii kuhusu mashoga.
Ni unabii kuhusu Feminism katika siku za mwisho.
Hakuna ushoga hapo.
 
Alafu mwanaume aanze mahusiano na house girl muanze kusema ni mbwa.
Anyway Maandiko Matakatifu yanasema watiini waume zenu.
Mbona huanzishi uhusiano na dada wa guest au wamgahawa au wanahali popote pale anayetoa huduma iwe wanyumbani tu
 
Back
Top Bottom