Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Nawee unapenda kutunzwa na mwanamke? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sipendi ila kama ananipenda mimi sikupendi itabid wewe unihudumie mimi nahudumia pale napo penda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawee unapenda kutunzwa na mwanamke? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe kulea mnaweza eeeh 😁.. nilee mimi bas maisha tight kichizi.😂😂😂
Sema naweza kukulea na ukoo wako.
Baada ya kuliwa Ela zako na mbususu umekuja kutema nyongo humu😅😅Nyie mnapenda kutunzwa kabisa hampendi wajibu wenu . Kama wanaume mjue ni laana kutunzwa mtageuzwa Kwa kupenda dezo
Mtalazimika kuvishwa vikuku miguni,nashangaa kiunoni sio matusi ila nikweli .
Siku njema haya maisha ni yakuangalia sana .
Kila mwanamke anamtu wakeanayejitolea ikiwemo ndugu na wengineo,mtu kAng'aa sio Bure ni mamillioni anatumia
Kumbe kulea mnaweza eeh.. nilee mm bas maisha tight kichizi 😁😂😂😂
Sema naweza kukulea na ukoo wako.
🤨Kumbe kulea mnaweza eeh.. nilee mm bas maisha tight kichizi 😁
Kazi ipoooooSipendi ila kama ananipenda mimi sikupendi itabid wewe unihudumie mimi nahudumia pale napo penda
😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kazi ipo dear.
Kwa hyo unataka nikuoe?Kumbe kulea mnaweza eeeh 😁.. nilee mimi bas maisha tight kichizi.
Ndipo tunapoelekea mkuu tunaona mambo kama LGBTQ huu ndyo mwanzo tu .View attachment 2560999
Isa 4:1 SUV
Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu
Kumbe maandiko yanaposema hivi maana yake wanaume wengi watakuwa mashoga alafu sisi wachache tutatafutwa kwa tochi hata mchana wa jua kali [emoji4]
Kazi ipooooo
Sasa si umuambie humpend ili aachane nawee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mazoea mwishowee tabia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii kali sasa, vijana wanapenda mtelezo had co poaaah lolAhahahha aelewi kwahiyo nau yeye analazimika nihudumie
Yes babe!! NIOEKwa hyo unataka nikuoe?
Khaaaa 😂😂😂 AisehYes babe!! NIOE
Mm napika sana!! Ki ben 10 mm lazima utoe shavuKhaaaa 😂😂😂 Aiseh
Mambo si 50/50 ama?Nyie mnapenda kutunzwa kabisa hampendi wajibu wenu . Kama wanaume mjue ni laana kutunzwa mtageuzwa Kwa kupenda dezo
Mtalazimika kuvishwa vikuku miguni,nashangaa kiunoni sio matusi ila nikweli .
Siku njema haya maisha ni yakuangalia sana .
Kila mwanamke anamtu wakeanayejitolea ikiwemo ndugu na wengineo,mtu kAng'aa sio Bure ni mamillioni anatumia
Basi tuwale kwanza maana mnatulaMambo si 50/50 ama?
Ndoa itakataliwa na nyie wabongo tu maana hamtaki kujishughulishaNI MATOKEO YA MALEZI YA SINGLE MAMA.
WAO WAMELELEWA KUWA HIVYO
NDIO KWENDA NA WAKATI,
NI MATOKEO YA HARAKATI ZA KUETETEA WANAWAKE
KWA SASA MWANAUME ANAWEZA KUWA MKE WA MTU, AU KULELEWA,AUKUKOSA NGUVU ZA KIUME,
KWA SASA PIGANA VINA VYAKO ISHI MWENYEWE
KATAA NDOA