Agustin kun Aguero
JF-Expert Member
- Mar 22, 2023
- 532
- 641
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa miaka yangu lbd kibenten wangu awe na miaka 17 tofauti na hivo ni uongo.Mm napika sana!! Ki ben 10 mm lazima utoe shavu
Sijasema hivyoo
Ki ben 10 sio umri... though nna 20. Ndo walewale under 21. Acha kupangua bas 😁Kwa miaka yangu lbd kibenten wangu awe na miaka 17 tofauti na hivo ni uongo.
Aaah weeeh ishiaKi ben 10 sio umri... though nna 20. Ndo walewale under 21. Acha kupangua bas 😁
Kungaa kwenyewe utakuta kaweka Macope ya bandia na kajipiga bonge la mkorogo hadi anapitiliza kwenye weupe anakua mwekundu!!Ogopa mwanamke anaesema kung'aa kwake anatunzwa.
Maana ana watu nyuma yake na hauko peke yako.