Wanaume mnapenda kutunzwa sio vizuri jishughulisheni

Wanaume mnapenda kutunzwa sio vizuri jishughulisheni

Huna hela za kunitisha kabisa.
Msukuma hawezi lea kabila lenye wasomi wakubwa wa nchi hii.
Kwa hyo msomi ndo ww😂😂😂 Yalaaaaaaaaah em nijiondokee mim.
 
Mwanaume maneno mengi kama vile umenyimwa na basha wako.
Usinitafutie ban mim konokono pori ww.
Huna hoja.
Na mashaka na uwezo wako wa kuchanganua mambo.
Anyway nahisi stress za kuachwa ndo zinakupelekea usitumie lugha nzuri.
Mimi sio shoga na sitakuwa shoga.
 
Alafu mwanaume aanze mahusiano na house girl muanze kusema ni mbwa.
Anyway Maandiko Matakatifu yanasema watiini waume zenu.
Swala ni kuhudumia familia/wanawake zenu hayo ya kulala na housegal ni nguvu zako tu na kutokuheshimu mkeo
 
Mpaka wenye sura personal nao wanataka kuwa marioo. Jamani mwanaume kusimamia majukumu yake "kwa uwezo wake" inaleta heshima sana kwenye mahusiano. sasa utashangaa leo hii mwanaume eti nae anachoweza changia kwenye mahusiano ni kiuno tu ghaaai
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie watu khaaaaah.
 
Huna hoja.
Na mashaka na uwezo wako wa kuchanganua mambo.
Anyway nahisi stress za kuachwa ndo zinakupelekea usitumie lugha nzuri.
Mimi sio shoga na sitakuwa shoga.
Hoja na ww kwa kipi.
Stress za kumuacha baba ako.
Uwezo wangu mdg kama wako.
 
Mpaka wenye sura personal nao wanataka kuwa marioo. Jamani mwanaume kusimamia majukumu yake "kwa uwezo wake" inaleta heshima sana kwenye mahusiano. sasa utashangaa leo hii mwanaume eti nae anachoweza changia kwenye mahusiano ni kiuno tu ghaaai
Eti inashangazaa
 
Back
Top Bottom