tecknologia23
JF-Expert Member
- Jan 16, 2023
- 259
- 382
Ogopa mwanamke anaesema kung'aa kwake anatunzwa.Nyie mnapenda kutunzwa kabisa hampendi wajibu wenu . Kama wanaume mjue ni laana kutunzwa mtageuzwa Kwa kupenda dezo
Mtalazimika kuvishwa vikuku miguni,nashangaa kiunoni sio matusi ila nikweli .
Siku njema haya maisha ni yakuangalia sana .
Kila mwanamke anamtu wakeanayejitolea ikiwemo ndugu na wengineo,mtu kAng'aa sio Bure ni mamillioni anatumia
Sisi ni haki yetu kutunzwa nyie ni utafutaji tu ndio kazi yenu Sasa jisahauniOgopa mwanamke anaesema kung'aa kwake anatunzwa.
Maana ana watu nyuma yake na hauko peke yako.
Nyie mnapenda kutunzwa kabisa hampendi wajibu wenu . Kama wanaume mjue ni laana kutunzwa mtageuzwa Kwa kupenda dezo
Mtalazimika kuvishwa vikuku miguni,nashangaa kiunoni sio matusi ila nikweli .
Siku njema haya maisha ni yakuangalia sana .
Kila mwanamke anamtu wakeanayejitolea ikiwemo ndugu na wengineo,mtu kAng'aa sio Bure ni mamillioni anatumia
Kama ni Haki yenu basi ni Haki pia ugawaji wa mali uzingatie juhudi za watu , haiwezekani mwanamke hafui, hapiki then anataka nusu kwa nusu na kutunzwa juu.Sisi ni haki yetu kutunzwa nyie ni utafutaji tu ndio kazi yenu Sasa jisahauni
Yes ulikuwa unamla na amekuzalia kufua hata house girl anaweza HiloKama ni Haki yenu basi ni Haki pia ugawaji wa mali uzingatie juhudi za watu , haiwezekani mwanamke hafui, hapiki then anataka nusu kwa nusu na kutunzwa juu.
Je wewe siuanze pamoja na mama Yako na ukoo wenu halafu jingine nani kasema hutotunzwa kama unatunza ila kama ni mwanamke tu akupe k umzalishe, akulishe akuvishe hii ni mbaya Kodi atoe wewe upo tu hii sio sawaUbinafsi umekujaaa kama yeye anakutunza kwanini ww usimtuze
Hii ni type ya wanawake wanao takiwa kuondoka mapema dunian
Umenipa rahaView attachment 2560999
Isa 4:1 SUV
Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu
Kumbe maandiko yanaposema hivi maana yake wanaume wengi watakuwa mashoga alafu sisi wachache tutatafutwa kwa tochi hata mchana wa jua kali 😊
Je wewe siuanze pamoja na mama Yako na ukoo wenu halafu jingine nani kasema hutotunzwa kama unatunza ila kama ni mwanamke tu akupe k umzalishe, akulishe akuvishe hii ni mbaya Kodi atoe wewe upo tu hii sio sawa
Alafu mwanaume aanze mahusiano na house girl muanze kusema ni mbwa.Yes ulikuwa unamla na amekuzalia kufua hata house girl anaweza Hilo
Naona si unabii kuhusu mashoga.View attachment 2560999
Isa 4:1 SUV
Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu
Kumbe maandiko yanaposema hivi maana yake wanaume wengi watakuwa mashoga alafu sisi wachache tutatafutwa kwa tochi hata mchana wa jua kali 😊
Acha hasira kafanye kazi siye ni halal kutumika na kutunzwaMtu kaliwa hata mia hajapewa😂😂
Umalaya kazi sana😂
Mwache oa yule roho inakutumaKama kanipenda mimi simpendi?
Mbona huanzishi uhusiano na dada wa guest au wamgahawa au wanahali popote pale anayetoa huduma iwe wanyumbani tuAlafu mwanaume aanze mahusiano na house girl muanze kusema ni mbwa.
Anyway Maandiko Matakatifu yanasema watiini waume zenu.
Emotional connection.Mbona huanzishi uhusiano na dada wa guest au wamgahawa au wanahali popote pale anayetoa huduma iwe wanyumbani tu
Ni connection umariooEmotional connection.
Huna kazi ungekuwa na kazi ungekuwa busyEmotional connection.