Wanaume mnapenda kutunzwa sio vizuri jishughulisheni

Nawee unapenda kutunzwa na mwanamke? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sipendi ila kama ananipenda mimi sikupendi itabid wewe unihudumie mimi nahudumia pale napo penda
 
Baada ya kuliwa Ela zako na mbususu umekuja kutema nyongo humuπŸ˜…πŸ˜…
 
Sipendi ila kama ananipenda mimi sikupendi itabid wewe unihudumie mimi nahudumia pale napo penda
Kazi ipooooo
Sasa si umuambie humpend ili aachane nawee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mazoea mwishowee tabia.
 
Ndipo tunapoelekea mkuu tunaona mambo kama LGBTQ huu ndyo mwanzo tu .
 
Kazi ipooooo
Sasa si umuambie humpend ili aachane nawee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mazoea mwishowee tabia.

Ahahahha aelewi kwahiyo nau yeye analazimika nihudumie
 
Haki sawa. Si ndio matokeo ya kampeni ya 50/50 kuzaa matunda?!

Wacha vijana wahudumiwe.
 
Mambo si 50/50 ama?
 
Ndoa itakataliwa na nyie wabongo tu maana hamtaki kujishughulisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…