Wanaume mnaruhusu vipi wake zenu kushiriki marathon?

Je kama wapo na wame zao
 
Hili ndiyo janga Kali, kama mwanamke huwezi kumkataza na akaelewa. Ndoa haipo hapo kiongozi. Ni janga kubwa sana katika ndoa nyingi na linamanifest kutoka kwenye financial capabilities mostly.
 
Hili ndiyo janga Kali, kama mwanamke huwezi kumkataza na akaelewa. Ndoa haipo hapo kiongozi. Ni janga kubwa sana katika ndoa nyingi na linamanifest kutoka kwenye financial capabilities mostly.

That's why nimeshangaa how wanaume wanaweza kuwaruhusu wake zao kwenda kwenye maradhoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…