Wanaume mnaruhusu vipi wake zenu kushiriki marathon?

Wanaume mnaruhusu vipi wake zenu kushiriki marathon?

Aisee Mambo yanayoendelea Dodoma after marathon ni balaa.

Ni kama watu wenye ndoa wametoka kifungoni they want to experience everything.

Watu wenye Pete ndio wanaongoza kuingia double kwenye rooms za hoteli.

Magari parking yanatingishika balaaa hahaha.

Ni balaaa.
Je kama wapo na wame zao
 
Kama ulifanikiwa kuona video moja ilikuwa ina-trend sana miezi mitano nyuma mwanamke mmoja feminist aliyemkamata bwege mmoja alikuwa anajitapa kwenye kikao na wenzake akisema yeye akitaka kutoka anatoka kwa sababu hela zake anazo so hana wa kumpangia atoke saa ngapi au arudi saa ngapi!

Vijana wengi wanaoa wanawake ambao hawawezi kuwakataza kufanya yale wasiyoyataka na hata wakijaribu kukataza mwanamke anaenda kwa sababu sponsors wapo akirudi anaingia ndani ya nyumba mume akitingisha kiberiti kesho mwanamke anaamkia kwao kesho kutwa mahakamani wagawane mali.
Hili ndiyo janga Kali, kama mwanamke huwezi kumkataza na akaelewa. Ndoa haipo hapo kiongozi. Ni janga kubwa sana katika ndoa nyingi na linamanifest kutoka kwenye financial capabilities mostly.
 
Back
Top Bottom