Wanaume mnaruhusu vipi wake zenu kushiriki marathon?

Na ushabiki wa soka
 
Nimeelewa mrembo asante sana
 
Wakimbiaji ni watu kama watu wengine kwenye starehe zao...kuna watu wakitoka kuangalia mpira au matamasha mengine lazima waburudike...hata kwenye marathon it's the same...lazima watu wenyewe wadance na wanywe waenjoy...
.Naona NBC dodoma marathon imekuwa second kula bata ,number one baba lao kilimanjaro marathon.
Mimi mwenyewe nikitoka kuzipiga km 21 au 42 kwenye marathon lazima nijipongeze kwa nyama choma,bia na mziki..
 
Wakuu ni kweli mnakimbia hizo 21km au 42km hadi kuzimaliza au ni mbwembwe tu? Kukimbia hata 2km seriously ni muziki mnene mno. Kutoka Posta hadi Ubungo ni 7km je hizo tu mnaziweza?
 
Kataa ndoa oyeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…