Wanaume mpewe nini mtulie?

Wanaume wanaovutia kimapenzi ni wale wenye mpenzi zaidi ya mmoja..
Kimojawapo kinachofanya umtamani ni vile kuna ligi unaipambania na demu mwingine, tofauti na ligi huba linadorora mnakaa kizembe zembe hakuna motivation.
Hatari
 
Kwanin tutulie ?
 
Acha kujiuza tutatulia.
 
Tatizo hamtupi kwa wakati pale tunapotaka
cacutee Aisee hii ipogo sanaaaaa kwenye ndoa yaan isingekuwa kumuogopa Mungu kasi ya uchepukaji ingekuwa kubwa kupindukiaaaaaaa mke wa ndoa lakini anatoa mwili wake kwa mume ka anatoa kitu cha thamani gan sijui yaan mke hataki kuguswa na mume kitandan , mke yupo kitandan muda wa kumpa mume tendo ye yupo instagram, na ni kwa wengi hii inawatokea kwa hali hii sasa ukute mume ni yule mwenye uhitaji mkubwa wa tendo anaachaje kuchepuka? Sitetei lakini wanawake na wao wajitafakari
Kingine wanawake wa siku hizi wengi wanatumia miili yao kama silaha ya kupata anachotaka, mwanamke yupo kwenye ndoa anataka mume amnunulie kitu fulan, na kwa muda huo labda haiwezekan basi na tendo ananyimwa jumla au anapewa kiduuchu tena kwa masimango sasa umkute mume mwenyewe naye kaamua liwalo na liwe ahh lazima akakule nje....
Ieleweke sitetei dhambi.....
 
Ukiwa mtu wa mishe town ndo utaelewa kwa nini wanaume hatutuliii....kuna wanawake wazuri na wameumbika utadhani hawaishi duniani,sasa kwa namna hio kamwe hatuwez tulia hadi hapo udongo utakapotufunika!
 
nyumbani tu kusafisha vyoo vimewashinda pamoja na kununuliwa sabuni ya usafi tuwafanyeje uti lazima iwanyooshe,mnashinda tu kwenye sofa na tamthilia ya wahindi wakiongea kiswahili
 
Kwenye ndoa pia mnanyimana bila sababu za msingi kumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…