Chabrosy
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 2,652
- 3,192
Ukiumwa unahitaji uangalizi hapo ndo patamu...Kwa uzoefu wangu, kataa ndoa wengi Bado wana-support kua na watoto. Kwahiyo, kama ishu ni kulelewa uzeeni, wengi watasema watoto wao.
Sidhani kama Kuna mtu anategemea mke wake atamlea akizeeka, maana wote siw atakua wazee.
Ishu kubwa ni ukiumwa na unahitaji uangalizi.