bawad sabas
Member
- Feb 3, 2021
- 65
- 55
Sure yaan,mambo yanabadilika sanaIla kumbuka. Kwa sasa hii style ya kuonesha uana kike au uanaume wa mtu mitandaoni na kujianika mtu sifa zake mwenyewe
Na kujionesha. ndio hali inafikia huko
Idadi ya wanaume ina pungua na hata ya wanawake pia
Tafuta MwanaumeKias chake ila tunazaa watu.Teh
Umenisisimua aasshhhTabia gani tena jamani,tunawapa tamu,tunawapikia,kuwafulia na kuwapa uzao wenu tena mzuri...mwee
Ndo umemuona Kama nyumbu?Ninae bro ...kwann? Nawe nikutafutie
Tafuta viongozi wako wa Kiroho watakupa muongozo.Ha ha haa,embu elezea sifa zake tafadhali
Mwanamke namheshimu sana ila simuendekezi hata kidogo. I mean I will never give a fu*ck about another motherf*cker.Kwani sisi wanawake mmetuweka kwenye kundi gani? Mnatuonaje yaan? Mbali na kuwazaa kuwalea mkakua kwani sisi wanawake mnatuonaje onaje....mfano Mimi wakiniuliza wanaume unawaonaje onaje...nitawajibu nawaona kama nyumbu....maana tabia ya nyumbu ni kusahau ...akianza fukuzwa na simba anakimbia dakika moja then anastuck ashasahau kuwa alikuwa anafukuzwa na simba ivo anajishangaa kwa kitendo chake cha kukimbia pasipo sababu....ivi mnakumbuka kweli kwamba sisi ni mama zenu kweli? Sijui mnatuonaje yaan
Kwani sisi wanawake mmetuweka kwenye kundi gani? Mnatuonaje yaan? Mbali na kuwazaa kuwalea mkakua kwani sisi wanawake mnatuonaje onaje....mfano Mimi wakiniuliza wanaume unawaonaje onaje...nitawajibu nawaona kama nyumbu....maana tabia ya nyumbu ni kusahau ...akianza fukuzwa na simba anakimbia dakika moja then anastuck ashasahau kuwa alikuwa anafukuzwa na simba ivo anajishangaa kwa kitendo chake cha kukimbia pasipo sababu....ivi mnakumbuka kweli kwamba sisi ni mama zenu kweli? Sijui mnatuonaje yaan