Wanaume mtujibu

Wanaume mtujibu

Kwani sisi wanawake mmetuweka kwenye kundi gani? Mnatuonaje yaan? Mbali na kuwazaa kuwalea mkakua kwani sisi wanawake mnatuonaje onaje....mfano Mimi wakiniuliza wanaume unawaonaje onaje...nitawajibu nawaona kama nyumbu....maana tabia ya nyumbu ni kusahau ...akianza fukuzwa na simba anakimbia dakika moja then anastuck ashasahau kuwa alikuwa anafukuzwa na simba ivo anajishangaa kwa kitendo chake cha kukimbia pasipo sababu....ivi mnakumbuka kweli kwamba sisi ni mama zenu kweli? Sijui mnatuonaje yaan

mpuuzi wewe huwezi kuwa mama yangu ata uzae watoto 200 hapo mama yangu atabaki mama yangu na wewe ubaki kuwa mwanamke tu bogazi Kabisa Mama yangu afananishwi na kinyago kama wewe au mtu yoyote hapa Duniani... Mama yangu ni mtu special zaidi ya special
 
Kwani sisi wanawake mmetuweka kwenye kundi gani? Mnatuonaje yaan? Mbali na kuwazaa kuwalea mkakua kwani sisi wanawake mnatuonaje onaje....

Bi mkubwa, kusingekuwa na wanaume ninyi mngezaaje?
 
Wewe kama siyo single mom, basi utakuwa haukunwi vizuri...

Maana siyo kwa grudges ulizonazo kwa sisi wanaume..

Kaa kimasta shangazi, this world is full of sh*t things..
 
mpuuzi wewe huwezi kuwa mama yangu ata uzae watoto 200 hapo mama yangu atabaki mama yangu na wewe ubaki kuwa mwanamke tu bogazi Kabisa Mama yangu afananishwi na kinyago kama wewe au mtu yoyote hapa Duniani... Mama yangu ni mtu special zaidi ya special
Ha ha haa,nimesema wanawake wanawazaa nyie wanaume.... Kwahiyo Leo nijitoe niwe mwanaume? Hapana kwa kweli
 
Wewe kama siyo single mom, basi utakuwa haukunwi vizuri...

Maana siyo kwa grudges ulizonazo kwa sisi wanaume..

Kaa kimasta shangazi, this world is full of sh*t things..
Yeah sure...am single mom...mulemule mkuu
 
Kwani sisi wanawake mmetuweka kwenye kundi gani? Mnatuonaje yaan? Mbali na kuwazaa kuwalea mkakua kwani sisi wanawake mnatuonaje onaje....mfano Mimi wakiniuliza wanaume unawaonaje onaje...nitawajibu nawaona kama nyumbu....maana tabia ya nyumbu ni kusahau ...akianza fukuzwa na simba anakimbia dakika moja then anastuck ashasahau kuwa alikuwa anafukuzwa na simba ivo anajishangaa kwa kitendo chake cha kukimbia pasipo sababu....ivi mnakumbuka kweli kwamba sisi ni mama zenu kweli? Sijui mnatuonaje yaan
Mi nawaona kama mama nyumbu
 
Pole sana, kwa uandishi wako tu inaonyesha kuna kipengele umekutana nacho au unakutana nacho.
 
Back
Top Bottom