msuyaeric
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 842
- 1,197
Kwani sisi wanawake mmetuweka kwenye kundi gani? Mnatuonaje yaan? Mbali na kuwazaa kuwalea mkakua kwani sisi wanawake mnatuonaje onaje....mfano Mimi wakiniuliza wanaume unawaonaje onaje...nitawajibu nawaona kama nyumbu....maana tabia ya nyumbu ni kusahau ...akianza fukuzwa na simba anakimbia dakika moja then anastuck ashasahau kuwa alikuwa anafukuzwa na simba ivo anajishangaa kwa kitendo chake cha kukimbia pasipo sababu....ivi mnakumbuka kweli kwamba sisi ni mama zenu kweli? Sijui mnatuonaje yaan
mpuuzi wewe huwezi kuwa mama yangu ata uzae watoto 200 hapo mama yangu atabaki mama yangu na wewe ubaki kuwa mwanamke tu bogazi Kabisa Mama yangu afananishwi na kinyago kama wewe au mtu yoyote hapa Duniani... Mama yangu ni mtu special zaidi ya special