bawad sabas
Member
- Feb 3, 2021
- 65
- 55
Wanawaka msijilinganishe..
Yan mwanamke aliye baa anajiuza au anafanya shughuli haramu anataka atunzwe na atambulike sawa na mwanamke aliyenyumbani na anayejitambua na kuilea familia yake vema..haiwezekani
Utavuna ulicho/unachokipanda