Wanaume mtujibu

Wanaume mtujibu

Wanawaka msijilinganishe..
Yan mwanamke aliye baa anajiuza au anafanya shughuli haramu anataka atunzwe na atambulike sawa na mwanamke aliyenyumbani na anayejitambua na kuilea familia yake vema..haiwezekani

Utavuna ulicho/unachokipanda
 
Kwani sisi wanawake mmetuweka kwenye kundi gani? Mnatuonaje yaan? Mbali na kuwazaa kuwalea mkakua kwani sisi wanawake mnatuonaje onaje....mfano Mimi wakiniuliza wanaume unawaonaje onaje...nitawajibu nawaona kama nyumbu....maana tabia ya nyumbu ni kusahau ...akianza fukuzwa na simba anakimbia dakika moja then anastuck ashasahau kuwa alikuwa anafukuzwa na simba ivo anajishangaa kwa kitendo chake cha kukimbia pasipo sababu....ivi mnakumbuka kweli kwamba sisi ni mama zenu kweli? Sijui mnatuonaje yaan
Mwanamke namheshimu sana ila simuendekezi hata kidogo. I mean I will never give a fu*ck about another motherf*cker.

Ukikaa relini yente, ukileta marinjirinji pita alolo.
 
Kwani sisi wanawake mmetuweka kwenye kundi gani? Mnatuonaje yaan? Mbali na kuwazaa kuwalea mkakua kwani sisi wanawake mnatuonaje onaje....mfano Mimi wakiniuliza wanaume unawaonaje onaje...nitawajibu nawaona kama nyumbu....maana tabia ya nyumbu ni kusahau ...akianza fukuzwa na simba anakimbia dakika moja then anastuck ashasahau kuwa alikuwa anafukuzwa na simba ivo anajishangaa kwa kitendo chake cha kukimbia pasipo sababu....ivi mnakumbuka kweli kwamba sisi ni mama zenu kweli? Sijui mnatuonaje yaan

Mnyama msahaulifu ni Ngiri siyo Nyumbu!
 
Back
Top Bottom