Kwahiyo tusiwaamini kabisa mkuuWanawake hamnazo, mtu anakujaje "kukutongoza" anakupiga saundi, fiksi kibao unamkubalia na unampa kibumbu yani unashindwa kujua unapigwa saundi. Hapo tuu ndo nawaonaga akili kisoda.
N:B: Nj mama zetu ila ndo hivyo.
Mambo yamebadilika,yaan kote hakutamaniki...daaShida tumechanganywa na tuliyo kopi na kuyaishi sasa shida kuu kurudi kwenye nafasi halisi... Inspiration na matamanio yamekuwa meengi ila Discipline zero....Anguko++
#Nawaonaga Kama Magaidiβ’οΈ
Ngoja nichunguze.Ukikubali nikuoe jina linabadilika.Unakuwa asali wa moyo.Ha ha haa,but ni mama,si ndivyo mkuu
Binafsi nawachukulia wanawake kama watoto, sifa ya mtoto ni kutaka na kila kizuri anachokiona bila kuzingatia uwezo wa Mzazi wake, hii hutokea kwa wanawake kupenda kumiliki kila kizuri na kwenda na mitindo ya kisasa kama ya simu, nywele, viatu, mavazi n.k.Kwani sisi wanawake mmetuweka kwenye kundi gani? Mnatuonaje yaani? Mbali na kuwazaa, kuwalea mkakua, kwani sisi wanawake mnatuonaje onaje?
Mfano mimi wakiniuliza wanaume unawaonaje onaje, nitawajibu nawaona kama nyumbu! Maana tabia ya nyumbu ni kusahau, akianza fukuzwa na simba anakimbia dakika moja halafu anaganda, ashasahau kuwa alikuwa anafukuzwa na simba!
Hivyo anajishangaa kwa kitendo chake cha kukimbia pasipo sababu!
Hivi mnakumbuka kweli kwamba sisi ni mama zenu kweli? Sijui mnatuonaje yaani.
Ndiyo maana wengi wao ni wana-CCM.Binafsi nawachukulia wanawake kama watoto, sifa ya mtoto ni kutaka na kila kizuri anachokiona bila kuzingatia uwezo wa Mzazi wake, hii hutokea kwa wanawake kupenda kumiliki kila kizuri na kwenda na mitindo ya kisasa kama ya simu, nywele, viatu, mavazi n.k.
Pia mtoto ni kiumbe ambacho huamini kwa haraka kile anachoambiwa au kushawishiwa bila kujiuliza mara mbilimbili kwakuwa wanayaamini zaidi masikio yao kuliko macho yao. Mfano, mwanamke anaweza kuaminishwa kuwa atajengewa ghorofa na mtu ambaye tayari anamjua fika kuwa hana hata uwezo wa kumnunulia kiwanja na bado akaamini kwamba inawezekana anachoambiwa.
Mtoto ni kiumbe ambaye hana msimamo bali anaamini kutokana na nguvu ya ushawishi anayokutana nayo. Mfano; mwanamke anaweza akawa anasema mimi napenda Mwanaume mwenye sifa mathalani ya urefu au rangi fulani, lakini ikatokea short chasis moja hivi ikamjaza maneno vizuri tu mtoto wa kike akajaa mazima.
Kwangu mimi naona ukielewa tabia za watoto basi hakuna mwanamke hapa Duniani anaweza akakusumbua na kama una nia ovu ya kuwatafuna tu, basi nakuhakikishia utakula nyama mpaka meno yatauma
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Ni vema umewaambia iliyo kweli.Wanaume wanabeba na kutunza watoto miilini mwao tangu utotoni na hawalalamiki.Kuzaa, kunyonyesha n.k hayo huwa ni majukumu yenu kiasili huwa sioni haja ya mwanamke kupewa sifa za ziada kutimiza majukumu yake ya asili.
Lakini pamoja na hayo jinsi ya kike haipewi thamani stahiki katika tamaduni nyingi kuanzia kwenye the so called "vitabu vitakatifu".
Ndio hivyo mkuu vingine ni asili tu lazima vifanywe either na mwanamke au mwanaumeNi vema umewaambia iliyo kweli.Wanaume wanabeba na kutunza watoto miilini mwao tangu utotoni na hawalalamiki.
Mkuu siasa imekutawala Sana kichwani mwakoNdiyo maana wengi wao ni wana-CCM.
Nichukulie tu hivyohivyo.Lakini ukumbuke,kila sekunde tunayoiishi ni siasa.Hata ukigoma,ndiyo hivyo.ππππMkuu siasa imekutawala Sana kichwani mwako
Mkuu hata ukiwa unapiga game na mke wako utakuwa unataja Tundu Lissu na CCM π€£Nichukulie tu hivyohivyo.Lakini ukumbuke,kila sekunde tunayoiishi ni siasa.Hata ukigoma,ndiyo hivyo.ππππ
Ulijuaje mkuu?Ni hivyohivyo kabisa.Mkuu hata ukiwa unapiga game na mke wako utakuwa unataja Tundu Lissu na CCM π€£