Binafsi nawachukulia wanawake kama watoto, sifa ya mtoto ni kutaka na kila kizuri anachokiona bila kuzingatia uwezo wa Mzazi wake, hii hutokea kwa wanawake kupenda kumiliki kila kizuri na kwenda na mitindo ya kisasa kama ya simu, nywele, viatu, mavazi n.k.
Pia mtoto ni kiumbe ambacho huamini kwa haraka kile anachoambiwa au kushawishiwa bila kujiuliza mara mbilimbili kwakuwa wanayaamini zaidi masikio yao kuliko macho yao. Mfano, mwanamke anaweza kuaminishwa kuwa atajengewa ghorofa na mtu ambaye tayari anamjua fika kuwa hana hata uwezo wa kumnunulia kiwanja na bado akaamini kwamba inawezekana anachoambiwa.
Mtoto ni kiumbe ambaye hana msimamo bali anaamini kutokana na nguvu ya ushawishi anayokutana nayo. Mfano; mwanamke anaweza akawa anasema mimi napenda Mwanaume mwenye sifa mathalani ya urefu au rangi fulani, lakini ikatokea short chasis moja hivi ikamjaza maneno vizuri tu mtoto wa kike akajaa mazima.
Kwangu mimi naona ukielewa tabia za watoto basi hakuna mwanamke hapa Duniani anaweza akakusumbua na kama una nia ovu ya kuwatafuna tu, basi nakuhakikishia utakula nyama mpaka meno yatauma
Sent from my TECNO KC6 using
JamiiForums mobile app