Wanaume na dhana ya kutopenda mboga ya kabichi

Mboga za majani ninazokula bila kulalamika ni mchicha, kabichi na matembele.

Nyingine nakula kwakua nasikia ni muhimu kwa kujenga mwili.

Kwa upishi huu wa wengi hakuna mbogamboga itakujenga mwili.
 
πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… Kwakuwa unakuwa ugenini unavunga tu ila huyo kawakomoa. Halafu utakuta yeye anajikubari kinoma kuwa mpishi
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kama ulikuwepo, anajikubali balaa humwambii kitu kuhusu viungo
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kama ulikuwepo, anajikubali balaa humwambii kitu kuhusu viungo
Wengi uwa anajikubali, kuna jamaa ana mke wake hajui kupika ila mtata, sasa jamaa uwa ananichekesha hata mkewe apike chakula hakijaiva atakula arambe mpaka sahani akimsifia kuwa anajua kupika maana mkewe ni mtata sana. Halafu ni watu wazima.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]haki nimecheka sana, Jamaa yako ana busara sana mpongeze kwa niaba yangu
 
Picha kwa hisani ya Uzi wa Vyakula
 
Bilinganya sijui bamia sijui kisamvu mamamae pelekea mbuzi wakale nitazikuta kwenye nyama yao tu!
Yaan mtazamo wa Wageni watatu wa Kiume Nyumban kwangu ndio wa Wanaume wote?
Angalia hata humu wamoUnataka kusemaaaa?
tatizo upishi wengi hawaijulii..
shida upishi sio?
Kabichi pia na bilinganya dah aisee hazina radha. Bora nyanya chungu
Ila ikitengenezwa vizuri utakula?
Kwani inaongeza naniliu?
 
Hata mimi sipendi, ikitokea nimekula nakula basi tu. Sipendi kabichi, sipendi mlenda, sipendi pilau, ikitokea nimekula nakula basi tu ila siyo kitu nachopenda
Mlenda hapo akili yangu imegoma kabisa kuamini kuwa ni chakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…