Wanaume na dhana ya kutopenda mboga ya kabichi

Hata mimi sipendi, ikitokea nimekula nakula basi tu. Sipendi kabichi, sipendi mlenda, sipendi pilau, ikitokea nimekula nakula basi tu ila siyo kitu nachopenda
Ha ha hah mlenda daah
 
Mama ni mama mtembelee kabla mwaka haujaisha.
 
Wanaume kama mabinti hao.
 
Niwaambie tuu kwa wale wenye kusumbuliwa na magonjwa ya kisukari na pressure hakikisha nusu ya mlo wako kila siku ni cabbage na mboga mboga za kusteam uone kama hutopata nafuu
 
Mboga nzuri sana, ina antioxidant za kutosha...
Ila sielewi wazungu wanatumia neno cabbage kama wanahisi waongea pumba?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…