Wanaume na wanawake wanaojitambua ambao hawajawai Kufanya uzinzi walio jitunza naomba tujuane hapa tafadhali

Mkuu, kufanya mapenzi hakutafsiliwi hivyo, so negative
Siku ukijua kwanini watu wanasema kuangalia picha za ngono na wanawake kwenye mitandao kuna athiri nguvu za kiume basi utajua kwanini nilicho kiandika ni kweli ...tatizo lako umeshindwa kujua madhara ya technology na kuchelewa kuanza sex kabla ya miaka 18.
Wewe unaongea habari za kusadikika siyo hali halisi ungekuwa wa kike ungeweza kuploof wewe mwenyewe hiki ninachokuambia ...nguvu za kiume za mvulana aliye wahi kujiusisha na sex kabla ya miaka 18 kamwe aziwezi kuwa sawa na yule aliye anza sex na miaka 26.
 
Haya sawa mkuu
 
Hhhhhhh harusi zetu ss hatuna kadi unaalikwa unakuja mchana kula pilau au biriani na jioni unakuja kupata swadaka yako ya halua maji sambusa na keki
Nitafurahi kujumuika na nyie mkuu
 
Pandisheni ile bendera yenu ya RANGI NYINGI kikao kivamiwe na wajuba.
 
Back
Top Bottom