Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 1,012
- 2,317
- Thread starter
- #81
Amna tatizo mimi sina shida nilikuwa nakushauri tu,Mbona umeenda mbali mkuu kumbe uko serious hivo au hiyo picha ndo imekukera?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amna tatizo mimi sina shida nilikuwa nakushauri tu,Mbona umeenda mbali mkuu kumbe uko serious hivo au hiyo picha ndo imekukera?
Eeh sio Kwa ushauri huo🙌Amna tatizo mimi sina shida nilikuwa nakushauri tu,
Wanaume na wanawake wanaojitambua ambao hawajawai Kufanya uzinzi walio jitunza naomba tujuane hapa tafadhali
Nisamehe kwakuwa umeniambia ulikuwa unafanya utani basi mimi nikajua upo serious ndio maana nikakupa class kidogoEeh sio Kwa ushauri huo🙌
Asante
View attachment 3100651
#KATAA NDOA
#USIZINI KWA HAKIKA ZINAA NI CHUKIZO MBELE YA ALLAH(SW)
#KAMA SIO BIKRA USIOE
Sahivi nitaanza kuwapa class mkuuYwakumbushe na wanandoa maana ukijilinda siku ukioa tu rohoo la uzinzi linashuka pyuuuu
.uhimu sanaa na wengi wanaogopa kuzini kisa ukimwo hawajui dhambi inawahusu piaSahivi nitaanza kuwapa class mkuu
Ulishawai kusikia kwanini wanawake wanapenda bad boy .....wavulana watukutu wengi uvunja miiko ya sex tokea wakiwa wadogo kwa skendo mbalimbali na kesi nyingi za sex au kushikashika watoto wa kike au hata kutongoza walimu wa kike ...hao wanakuwa na nguvu sana za hisia ....mwili wa binadamu unapoteza hisia kama ukiufuga nje ya matamanio yake. Kama mimi ni mwongo waulizeni wanawake maana wao ndiyo wana lala na wanaume ....watakupeni nini wana shuhudia kitandani ....miaka ya zamani kabla ya kuwepo kwa umeme na smart phone na tv ilikuwa sawa inawezekana mwanaume kuchelewa kuanza sex hata miaka 25 na nguvu zake ziwe sawa ila kwa kizazi cha sasa cha technology ni tofauti.Sio kweli, utakapo jitunza utakuwa mpya na mwenye nguvu za kutosha, utaepukana na magonjwa hatarishi, utakuwa na afya njema. Lakini usipo jitunza utakutana na magonjwa, nguvu zako zitachakaa utapungukiwa nguvu za kiume, utakonda n.k hivyo kuna mda wa kufanya mapenzi sio unaruka ruka mara hupo kwa huyu mara kwa yule this is negative
Hakika ni tunu Kwa taifa inabidi tulindwe Kwa Hali na Mali.....Ambao hatujawahi yaani tunaojitunza tupo wachache sana.
Swali la msingiUzinzi ninini?
Wanaume na wanawake wanaojitambua ambao hawajawai Kufanya uzinzi walio jitunza naomba tujuane hapa tafadhali
poaaMama mwana mambo?
mbona unanipangia matumizi ya kiungo changu?Acha mawazo hasi binti, Sikiliza binti tafuta mume sahihi akuoe, simaanishi kwamba usifanye mapenzi lakini ni vizuri uwe kwenye sehemu sahihi sio unatumika tumika tu hovyo
Nilitamani uende pale ocean road, usikie story za baadhi ya wagonjwa wa kansa, walau ungepata kufahamu bahati nasibu iliyopo kwenye afya njema.Sio kweli, utakapo jitunza utakuwa mpya na mwenye nguvu za kutosha, utaepukana na magonjwa hatarishi, utakuwa na afya njema. Lakini usipo jitunza utakutana na magonjwa, nguvu zako zitachakaa utapungukiwa nguvu za kiume, utakonda n.k hivyo kuna mda wa kufanya mapenzi sio unaruka ruka mara hupo kwa huyu mara kwa yule this is negative