Wanaume na wanawake wanaojitambua ambao hawajawai Kufanya uzinzi walio jitunza naomba tujuane hapa tafadhali

Wanaume na wanawake wanaojitambua ambao hawajawai Kufanya uzinzi walio jitunza naomba tujuane hapa tafadhali

Sio kweli, utakapo jitunza utakuwa mpya na mwenye nguvu za kutosha, utaepukana na magonjwa hatarishi, utakuwa na afya njema. Lakini usipo jitunza utakutana na magonjwa, nguvu zako zitachakaa utapungukiwa nguvu za kiume, utakonda n.k hivyo kuna mda wa kufanya mapenzi sio unaruka ruka mara hupo kwa huyu mara kwa yule this is negative
Ulishawai kusikia kwanini wanawake wanapenda bad boy .....wavulana watukutu wengi uvunja miiko ya sex tokea wakiwa wadogo kwa skendo mbalimbali na kesi nyingi za sex au kushikashika watoto wa kike au hata kutongoza walimu wa kike ...hao wanakuwa na nguvu sana za hisia ....mwili wa binadamu unapoteza hisia kama ukiufuga nje ya matamanio yake. Kama mimi ni mwongo waulizeni wanawake maana wao ndiyo wana lala na wanaume ....watakupeni nini wana shuhudia kitandani ....miaka ya zamani kabla ya kuwepo kwa umeme na smart phone na tv ilikuwa sawa inawezekana mwanaume kuchelewa kuanza sex hata miaka 25 na nguvu zake ziwe sawa ila kwa kizazi cha sasa cha technology ni tofauti.
Kama kuna watoto wa kike wafanye utafiti wa ninacho sema kwa vitendo kila mwanaume wanaye lala naye na kuwa na nguvu za kutosha waulize alianza sex muda gani na wale wenye nguvu duni wawa ulize hivyo hivyo ...mfano mwanaume akianza sex akiwa na miaka 30 basi huyo atakuwa na hisia za chini kiasi mambo mengi ataona kinyaa au kuwa na ufanisi mdogo sana ...kumbukeni kanuni ya viumbe vyote kuwa ufanisi wa kitu chochote unategemea sana mafunzo na uzoefu wa kutokea utotoni mfano uchezaji mpira ,sarakasi ,kung fu ,basketball vyote hivyo ukitaka kuwa na performance ya juu basi unatakiwa uwe unavifanyia mazoezi toka mdogo ...
 
Maisha yalitakiwa yawe milele ili idea yako iwe na tija!!!
Haya ushajitunza halafu? Hakuna kaburi la mzinzi au mtu mwema, yote yanafanana. Na maisha hayana guarantee
 
Sio kweli, utakapo jitunza utakuwa mpya na mwenye nguvu za kutosha, utaepukana na magonjwa hatarishi, utakuwa na afya njema. Lakini usipo jitunza utakutana na magonjwa, nguvu zako zitachakaa utapungukiwa nguvu za kiume, utakonda n.k hivyo kuna mda wa kufanya mapenzi sio unaruka ruka mara hupo kwa huyu mara kwa yule this is negative
Nilitamani uende pale ocean road, usikie story za baadhi ya wagonjwa wa kansa, walau ungepata kufahamu bahati nasibu iliyopo kwenye afya njema.
 
Back
Top Bottom