Wanaume na wanawake wanaojitambua ambao hawajawai Kufanya uzinzi walio jitunza naomba tujuane hapa tafadhali

Wanaume na wanawake wanaojitambua ambao hawajawai Kufanya uzinzi walio jitunza naomba tujuane hapa tafadhali

Kufanya mapenzi ni mahitaji ya kiumbe hai!!

Kujinyima ni kuikataa asili!ukiikataa asili utauondoa ubinadamu na umnyama utakuingia!

Ni hayo.tu!!
Upo sahihi kijana kwakweli kufanya mapenzi ni hitaji lakini tufanye sehemu sahihi iliyo salama isiyokuwa na magonjwa isiyokuwa na namna yoyote iliyo mbaya bali sehemu yenye baraka ambayo ni kwenye ndoa, hapa sikatazi watu wasifanyemapenzi ila nikuangalia sehemu sahihi
 
Back
Top Bottom