Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
-
- #161
Haya nasubiri mchango wako.Mshangazi hii avatar yako nimeielewa,next time leta uzi kuhusu huu mkao π. Nitarudi baadae kuchangia
Ukatae usikatae Mwl wa hao watoto ni wewe mama yao na unafurahia hali hiyo kwakuwa maelekezo yako yamefuatwa kikamilifu.Ulivyokua kijana na kipindi cha balehe (teen age), mahusiano yako na baba yako yalikuwaje?
Nina watoto wa kiume wapo kipindi cha balehe na hawaivi kabisa na baba yao, japo hapo zamani walikua wana ukaribu sana. Ugomvi hauishi, kila kitu kidogo lazima watoto wapate mihemuko au wapate hasira na baba yao naye anakasirika (they trigger each other kupita kiasi). Watoto pia hawana uoga kuongea mbele ya baba kama wakiambiwa kitu na hawana utayari (japo huwa hawavunji heshima au kutukana).
Hii hali ni mpya (kwa miaka kadhaa sasa) tokea waingie kwenye balehe (teen years). Wazazi ambao mmeshalea male teens (vijana wa kume wakiwa kwenye balehe) uzoefu wenu ulikuwaje na je baada ya balehe, ukaribu na mahusiano huwa yanarudi tena kama zamani?
Na wanaume wa JF, vipi na wakati unakua mahusiano yako na wazazi yalikuwaje?
Asanteni na Jumapili njema!
View attachment 3360276
Huwa sitetei kabisa watoto mbele yao na wala sizungumzi chochote kinachopinga na anachosema baba yao. Ila huko chumbani nikiwa na baba yao huwa nawaombea msamaha wasiadhibiwe sana maana karoho huwa kanauma π€.Power struggle,vidume vinataka mamlaka ya kutawala!
Viboko bila kutetewa na mama Yao,vitawasaidia!!!
Ukatae usikatae Mwl wa hao watoto ni wewe mama yao na unafurahia hali hiyo kwakuwa maelekezo yako yamefuatwa kikamilifu.Ulivyokua kijana na kipindi cha balehe (teen age), mahusiano yako na baba yako yalikuwaje?
Nina watoto wa kiume wapo kipindi cha balehe na hawaivi kabisa na baba yao, japo hapo zamani walikua wana ukaribu sana. Ugomvi hauishi, kila kitu kidogo lazima watoto wapate mihemuko au wapate hasira na baba yao naye anakasirika (they trigger each other kupita kiasi). Watoto pia hawana uoga kuongea mbele ya baba kama wakiambiwa kitu na hawana utayari (japo huwa hawavunji heshima au kutukana).
Hii hali ni mpya (kwa miaka kadhaa sasa) tokea waingie kwenye balehe (teen years). Wazazi ambao mmeshalea male teens (vijana wa kume wakiwa kwenye balehe) uzoefu wenu ulikuwaje na je baada ya balehe, ukaribu na mahusiano huwa yanarudi tena kama zamani?
Na wanaume wa JF, vipi na wakati unakua mahusiano yako na wazazi yalikuwaje?
Asanteni na Jumapili njema!
View attachment 3360276
Ukatae usikatae Mwl wa hao watoto ni wewe mama yao na unafurahia hali hiyo kwakuwa maelekezo yako yamefuatwa kikamilifu.Ulivyokua kijana na kipindi cha balehe (teen age), mahusiano yako na baba yako yalikuwaje?
Nina watoto wa kiume wapo kipindi cha balehe na hawaivi kabisa na baba yao, japo hapo zamani walikua wana ukaribu sana. Ugomvi hauishi, kila kitu kidogo lazima watoto wapate mihemuko au wapate hasira na baba yao naye anakasirika (they trigger each other kupita kiasi). Watoto pia hawana uoga kuongea mbele ya baba kama wakiambiwa kitu na hawana utayari (japo huwa hawavunji heshima au kutukana).
Hii hali ni mpya (kwa miaka kadhaa sasa) tokea waingie kwenye balehe (teen years). Wazazi ambao mmeshalea male teens (vijana wa kume wakiwa kwenye balehe) uzoefu wenu ulikuwaje na je baada ya balehe, ukaribu na mahusiano huwa yanarudi tena kama zamani?
Na wanaume wa JF, vipi na wakati unakua mahusiano yako na wazazi yalikuwaje?
Asanteni na Jumapili njema!
View attachment 3360276
Si kweli, watoto wamefanana na baba yao kama mayai, nimeambulia vidole tu (na tabia hizo za makasiriko wamechukua huko huko ukweni kwangu).Hamaanishi yeye kuwa wake, isipokuwa kamaanisha siyo wa mmeo, yaani wewe ulideshi deshi.
Ya nini tena na baba yao kanikuta bikra π π π π€ π
Baada ya hapo, Siri unaijua mwenyewe...Ya nini tena na baba yao kanikuta bikra π π π π€ π
Namba za wahuni hizo, utaanza kuona sura zinakuwa za kizee kuliko umri wao, wanatembea na panga, muda wote wamenuna... Jua sasa hivi watafunzwa na ulimwengu.Hapa sijaelewa, hii inamaanisha nini?
Sawa, atafanya hivyo.
Hofu siyo sehemu pekee ya malezi, ila kama ni kuogopwa, vijana wanamuogopa sana na hawataki kuwa karibu naye kabisa. Ila hiyo hali hata yeye inamkosesha raha!Mtu wa kwanza kuogopwa na mtoto ni Baba. Baba huwa anapewa heshima kubwa ma kijana wake kuliko Mama. Hapo kuna tatizo kubwa la kimalezi
Hofu siyo sehemu pekee ya malezi, ila kama ni kuogopwa, vijana wanamuogopa sana na hawataki kuwa karibu naye kabisa. Ila hiyo hali hata yeye inamkosesha raha!
Ulivyokua kijana na kipindi cha balehe (teen age), mahusiano yako na baba yako yalikuwaje?
Nina watoto wa kiume wapo kipindi cha balehe na hawaivi kabisa na baba yao, japo hapo zamani walikua wana ukaribu sana. Ugomvi hauishi, kila kitu kidogo lazima watoto wapate mihemuko au wapate hasira na baba yao naye anakasirika (they trigger each other kupita kiasi). Watoto pia hawana uoga kuongea mbele ya baba kama wakiambiwa kitu na hawana utayari (japo huwa hawavunji heshima au kutukana).
Hii hali ni mpya (kwa miaka kadhaa sasa) tokea waingie kwenye balehe (teen years). Wazazi ambao mmeshalea male teens (vijana wa kume wakiwa kwenye balehe) uzoefu wenu ulikuwaje na je baada ya balehe, ukaribu na mahusiano huwa yanarudi tena kama zamani?
Na wanaume wa JF, vipi na wakati unakua mahusiano yako na wazazi yalikuwaje?
Asanteni na Jumapili njema!
Nitake wanangu wamdharau baba yao ili iweje?, naomba unieleweshe mana sielewi unamaanisha nini.Mdhamini MKUU wa mtoto KUMDHARAU baba yake ni mama yake. Hakuna mtoto anayeweza kumdharau mzazi wake endapo hakuna mzazi mmojawapo nyuma yake.
Na hapa unafurahia kwakuwa maelekezo yako yamefuatwa na kufanyawa kazi kikamilifu.
NO REFORMS NO ELECTION.
Kipindi cha balehe ni rahisi vijana kujiona wakubwa na wanataka waruhusiwe kufanya watakalo.... anyway hicho kipindi kitapita tu.Ulivyokua kijana na kipindi cha balehe (teen age), mahusiano yako na baba yako yalikuwaje?
Nina watoto wa kiume wapo kipindi cha balehe na hawaivi kabisa na baba yao, japo hapo zamani walikua wana ukaribu sana. Ugomvi hauishi, kila kitu kidogo lazima watoto wapate mihemuko au wapate hasira na baba yao naye anakasirika (they trigger each other kupita kiasi). Watoto pia hawana uoga kuongea mbele ya baba kama wakiambiwa kitu na hawana utayari (japo huwa hawavunji heshima au kutukana).
Hii hali ni mpya (kwa miaka kadhaa sasa) tokea waingie kwenye balehe (teen years). Wazazi ambao mmeshalea male teens (vijana wa kume wakiwa kwenye balehe) uzoefu wenu ulikuwaje na je baada ya balehe, ukaribu na mahusiano huwa yanarudi tena kama zamani?
Na wanaume wa JF, vipi na wakati unakua mahusiano yako na wazazi yalikuwaje?
Asanteni na Jumapili njema!
View attachment 3360276
Inawezekana, tatizo ni kama imetokea hivyo hata mimi hawawezi kuniambia πKuna kitu wamekishuhudia kuhusu yeye ila hawana sehemu ya kukisemea labda waliona akicheat. Mtu hawezi kukupotezea bila sababu
Duuh Mungu atuepusha na hayo kwa kweli.Namba za wahu
Namba za wahuni hizo, utaanza kuona sura zinakuwa za kizee kuliko umri wao, wanatembea na panga, muda wote wamenuna... Jua sasa hivi watafunzwa na ulimwengu.
Asante kwa kushare, mimi pia naamini ni steji tu ya ukuaji na watarudi kama mwanzo.Hahahah umenikumbusha mbali sana, balehe yangu niligombana na kila mtu isipokuwa kaka yangu tu, wengine wote kuna mahali ilikuwa lazima tupishane kauli.
Ni kawaida hiyo akishapita hiyo stage atarudi kuwa kama mwanzo
Jambo la kawsida kabisa kwa kijana rijali.