Nilichojifunza katika uhusiano kati ya, mtoto wa kiume na, baba yake,
Kuna umri,miaka 0 mpaka 14,baba, anakuwa, ni, shujaa, kwa, mtoto, mtoto anakuwa, anatamani, kuwa, kama, baba, anamuona baba yake ndio hero wake, (kijana, wangu aliiga, na, akapenda kila ninachofanya, weight lifting, martial, art, ufundi umeme na magari, kuangslia series, kuendesha bike, gari kwa, speed, kutembea, u siku sana vichochoroni, bila uoga,) kuna umri 18-30, mtoto wa, kiume atqmchukia dingi yake, harafu, akiwa, na, familia, ndio ataanza kumuelewa, dingi yake for, na mzee akifariki, mtoto wa, kiume ndio ufumbuka na kuelewa logic ya kila kitu alichokuwa anafanya dingi!