Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,788
- 113,025
100%Kama baba sio wa hovyo basi watoto hawakupata malezi mazuri kutoka kwenu
100%Kama baba sio wa hovyo basi watoto hawakupata malezi mazuri kutoka kwenu
Pole kwa kukua bila baba na hongera kwa malezi mazuri kwa watoto wako.Bahati mbaya sikulelewa na kukua kwenye familia yenye baba hivyo hio hali ilivyo nikuta nilikabiliana nayo peke yangu
Kwa sasa ni baba, najitahidi sana kujenga mahusiano na mtoto awe huru kwangu ili chochote kisicho cha kawaida kinapo mkuta awe huru kuniambia .
Hivyo hata atakavyo kuwa kwenye balehe yake kusiwe na uzio kati yake na mimi.
Nadhani mkipanda vizuri huku chini hakuna usumbufu mkubwa hapo mbeleni.
Kawaida kwa watoto wa kiume kutokua na stori na baba yao hilo nimeliona kwetu nikiwa mdogo na hata sasa nikiwa na familia.Sisi tunakula pamoja pia, ila watoto haowaongei chochote (au wanaongea kidogo sana, wakiulizwa kitu wanajibu ila hakuna story) na wakimaliza kula wanaomba kuondoka mezani 😔😔😔
Nikiwa nao peke yangu wanapiga stori mpaka basi, baba yao akiwepo wanakua mabubu.
Inawezekana wewe ndiyo baba yao, njoo upime DNA kama ni vifaranga vyako uvichukue tupumzike 😎Wapeleke kwa baba yao mzazi. Acheni tabia za kubambikia watu watoto. Hayo ndio madhara yake.
😍 💯 Ni kweliHakuna Hali inayo dumu daima
Haya chezeni sebene, msisahau kuombea amani kipindi cha uchaguzi.
Karbia Zuma Anaingia,Ila Mkuu Amani ni zao la Haki! Bila Haki popote pale Amani hakuna.Haya chezeni sebene, msisahau kuombea amani kipindi cha uchaguzi.
Inawezekana ikawa baba ni wewe, njoo uwapime DNA ili kama ni wako uwachukue na sie tupumzike 😎Itakuwa sio baba Yao wa damu sema kweli ulipewa mimba na nani???????
NO REFORM NO ELECTION
Ko mie ndo nilie kupa mimbaInawezekana ikawa baba ni wewe, njoo uwapime DNA ili kama ni wako uwachukue na sie tupumzike 😎
Kila la kheriUmesema vyema, asante sana.
Nimeyachukua yote 🙏 🙏 🙏
Sawa, basi punguza shobo kwenye uzao wa mwanaume mwenzako. Shukrani!Ko mie ndo nilie kupa mimba
Kila la heri💯 💯 💯 Ni kweli, acha tuendelee na hii safari kwa busara na upendo.
wewe ndio sababu ya hiyo kitu. wanawake mnalalamika sana matatizo ya mahusiano yenu kwa watoto wenu. Hivo kufanya watato wakuone wewe ndo mhanga wa mahusiano. Hali inayowapelekea kukuonea wewe huruma na kumchukia baba yao. Acha kuwashtakia watoto maugomvi yenu. pambana mwenyewe.Ulivyokua kijana na kipindi cha balehe (teen age), mahusiano yako na baba yako yalikuwaje?
Nina watoto wa kiume wapo kipindi cha balehe na hawaivi kabisa na baba yao, japo hapo zamani walikua wana ukaribu sana. Ugomvi hauishi, kila kitu kidogo lazima watoto wapate mihemuko au wapate hasira na baba yao naye anakasirika (they trigger each other kupita kiasi). Watoto pia hawana uoga kuongea mbele ya baba kama wakiambiwa kitu na hawana utayari (japo huwa hawavunji heshima au kutukana).
Hii hali ni mpya (kwa miaka kadhaa sasa) tokea waingie kwenye balehe (teen years). Wazazi ambao mmeshalea male teens (vijana wa kume wakiwa kwenye balehe) uzoefu wenu ulikuwaje na je baada ya balehe, ukaribu na mahusiano huwa yanarudi tena kama zamani?
Na wanaume wa JF, vipi na wakati unakua mahusiano yako na wazazi yalikuwaje?
Asanteni na Jumapili njema!
View attachment 3360276
Ni kweli kabisa, lakini punguzeni hasira, hawa makinda bado hawajapevuka vizuri.Of course asili ya mwanaume ni kuhishi kuheshimiwa. Wakati mwingi tunaweza hata 'demand' hio heshima kama Kuna viashiria vya kutokuwepo/mapuuza.
Hapo ndio shida inaanzia kwa sie wazee.
Last seen Enjoy Maisha.
Sure Hilo ni wazi lakini usisahau mchango wako kama mama kumheshimisha Mzee kwa wanao kwa ku 'acknowledge' lolote analofanya Mzee kwa familia. Let your kids know vitu vyote prior to their stability and sustainability ni baba ame/anawajibika.Ni kweli kabisa, lakini punguzeni hasira, hawa makinda bado hawajapevuka vizuri.
Enjoy Maisha 😜😅
NO REFORMS NO ELECTIONUlivyokua kijana na kipindi cha balehe (teen age), mahusiano yako na baba yako yalikuwaje?
Nina watoto wa kiume wapo kipindi cha balehe na hawaivi kabisa na baba yao, japo hapo zamani walikua wana ukaribu sana. Ugomvi hauishi, kila kitu kidogo lazima watoto wapate mihemuko au wapate hasira na baba yao naye anakasirika (they trigger each other kupita kiasi). Watoto pia hawana uoga kuongea mbele ya baba kama wakiambiwa kitu na hawana utayari (japo huwa hawavunji heshima au kutukana).
Hii hali ni mpya (kwa miaka kadhaa sasa) tokea waingie kwenye balehe (teen years). Wazazi ambao mmeshalea male teens (vijana wa kume wakiwa kwenye balehe) uzoefu wenu ulikuwaje na je baada ya balehe, ukaribu na mahusiano huwa yanarudi tena kama zamani?
Na wanaume wa JF, vipi na wakati unakua mahusiano yako na wazazi yalikuwaje?
Asanteni na Jumapili njema!
View attachment 3360276
Wanao ni wahuni tu kutokana na malezi mabaya mliyowalea. Pambaneni na hali zenu!Ulivyokua kijana na kipindi cha balehe (teen age), mahusiano yako na baba yako yalikuwaje?