Sasa unajuaje hajui bajeti? Ukioa mke asiyejua bajeti umekosea kuoa.Hujui Dunia wewe , kadi kama kuacha inaachwa ya famili account tu na lazima elewa bajet ya pesa iliyotoka imetumika vipi, unaacha kadi ajichotee , unaongea nini ,wewe sio mwanaume na kama mwanaume umerogwa sio bure ,
Umuachie sharifa bunda ndani bila maelekezo si atamaliza maduka sinza kununua mawigi ya kila aina😂 na kubandika kope na kucha.
Mwanamke 80% ya akili yake inawaza starehe na kutumia resources zilizopo kujinufaisha, wachache sana tena wale gifted huwa wana after thoughts.Aisee wanawake(% kubwa) sijui huwa wanawaza nini kichwani mwao ,yaani wapo kuspend spend tu vitu visivyo na maana ,yaani hawazi hiyo hela kufanya kitu cha maana ndani zaidi ya kujinunulia mawigi/nywele/lotion/perfume/nguo/viatu wakati ndani ana vyote hivyo hadi vingine havai.
Baada ya kuanza kujitegemea nimeanza kununua choroko na kabeji kwa hiari yangu ambapo kwa baba yangu nilikuwa nagoma kula.....namshauri ampende tu mumewe ukute hiyo laki 4 ina matumizi mpaka haichokiVipi baada ya kukua na kuanza jitegemea , unamshauri nini ,huyu mwenzako mleta mada
🤣🤣🤣🤣eeeh kabisa nilikuwa naona za biscuits na pipi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 We ukiona bunda unajua zote za biskuti zile 😁
Bado mnaishi Tabata mkuu?Baada ya kuanza kujitegemea nimeanza kununua choroko na kabeji kwa hilarious yangu ambapo kwa baba yangu nilikuwa nagoma kula.....namshauri ampende tu mumewe ukute hiyo laki 4 ina matumizi mpaka haichoki
Goba mkuuBado mnaishi Tabata mkuu?
GoodGoba mkuu