Wanaume naomba mnijibu tafadhali

Wanaume naomba mnijibu tafadhali

Hujui Dunia wewe , kadi kama kuacha inaachwa ya famili account tu na lazima elewa bajet ya pesa iliyotoka imetumika vipi, unaacha kadi ajichotee , unaongea nini ,wewe sio mwanaume na kama mwanaume umerogwa sio bure ,
Sasa unajuaje hajui bajeti? Ukioa mke asiyejua bajeti umekosea kuoa.

Inawezekana mke ndiye anajua bajeti kuliko mume.
 
Umuachie sharifa bunda ndani bila maelekezo si atamaliza maduka sinza kununua mawigi ya kila aina😂 na kubandika kope na kucha.

Aisee wanawake(% kubwa) sijui huwa wanawaza nini kichwani mwao ,yaani wapo kuspend spend tu vitu visivyo na maana ,yaani hawazi hiyo hela kufanya kitu cha maana ndani zaidi ya kujinunulia mawigi/nywele/lotion/perfume/nguo/viatu wakati ndani ana vyote hivyo hadi vingine havai.
 
Mwanamke 80% ya akili yake inawaza starehe na kutumia resources zilizopo kujinufaisha, wachache sana tena wale gifted huwa wana after thoughts.
 
Vipi baada ya kukua na kuanza jitegemea , unamshauri nini ,huyu mwenzako mleta mada
Baada ya kuanza kujitegemea nimeanza kununua choroko na kabeji kwa hiari yangu ambapo kwa baba yangu nilikuwa nagoma kula.....namshauri ampende tu mumewe ukute hiyo laki 4 ina matumizi mpaka haichoki
 
Baada ya kuanza kujitegemea nimeanza kununua choroko na kabeji kwa hilarious yangu ambapo kwa baba yangu nilikuwa nagoma kula.....namshauri ampende tu mumewe ukute hiyo laki 4 ina matumizi mpaka haichoki
Bado mnaishi Tabata mkuu?
 
Back
Top Bottom