Wanaume naomba mnijibu tafadhali

Hao ni wavulana ndio wanafanya hivyo mkuu.
Mwanaume kamili akifika nyumbani anaacha pesa zake zote na kuzitolea maagizo kwa kila kiasi, then yeye ndie anachukua kiasi kidogo kwaajili ya matumizi yake binafsi kwa siku inayo fuata.
Unakaaje na pesa nyingi ndani ,kama sio ya project inayoendelea, may be za mafisadi wanaoogopa ziweka benki ,kimbia mkono wa sheria ,balance nyumbani kama kila kitu kipo M1 inatosha kwa dhalura ,vinevyo hata kama upo na watu wanakusaidia kazi zipo mifumo ya kukamilisha ujira wao
kulipa ujirakika
 
Ulitaka bei gani?
 
Umeolewa lakini bado unakuwa na akili za kiudangaji wenzio hata hiyo 20 hawaipatk
 
Twenty ya nini? Ilitakiwa atoe ten
 
Mahitaji ni makubwa kuliko pesa inayoachwa , ila ngoja nitafute zangu sitamsumbua mtoto wa ma mkwe
Pesa haijawahi kutosha mrembo, muhimu kwenye mapungufu kaa chini na mumeo mjadiliane vile mnaweza kuwekana sawa.
Kutegemea ushauri wa mtandaoni kupata jibu sahihi la changamoto za ndani ya ndoa yako inaweza ikapelekea kuharibu zaidi baada ya kupata maoni ya upotoshaji.
Bado mna nafasi ya kurekebisha changamoto zinazojitokeza badala ya kuhukumu bila kupata ufafanuzi wa kina kutoka kwa muhusika.
 
Kuchomoa elfu 20 kwenye bunda huku likiwa mfukoni kuna hatari ya kuchana hela, hasa kama bunda lina 'barabendi'..!!
 
Aaaah na wewe ukoje?Zilizobaki nimetumia kama nauli na kununulia madafu niendelee kuuza.Ulishindwa kuniuliza?
 
Asante muhenga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…