Wanaume naomba mnijibu tafadhali

Tafuta kujua Nini anataka ili afurahi na umfurahishe! Hilo tu litakupa kuukamata moyo wake! Acha kuwaza pesa,waza huduma sahihi itakupa zaidi ya pesa unayoitaka.Wanaume wengi hawategemei kujengewa ghorofa na mwanamke ni vitu vidogo vidogo sana tena vinavyodharauliwa. Hakuna mkate mgumu kwa chai dogo! Unajua kama mwanamke ana akili nyingi kuliko mwanaume? Tatizo ni matumizi.Jeshi halishundi vita kwa kuwa na silaha nyingi bali akili ya kuzitumia.Achana na chuki maana anayechukia hawezi kupendwa
 
Shida aliona wanawake weupe wakipewa laki 😄
Wanaume wengi wanahonga, yaani tabia ya kuhonga ni ya wanaume wengi sana. Anachosahau ni kuwa yeye anapewa 20k kila siku, yule malaya anapewa 100k mara moja, akishaliwa mara moja-tatu hapewi tena. Mwanaume akitafuta K atatoa chochote ili.mradi aipate.
 
Ujumbe huu uishi siku zote na ndivyo ilivyo
 
😄😄Sasa ampe Kwa Siri asione hii inauma sana
 
Familia
Familia nisawa na taasisi ambayo inamifumo ya mapato matumizi akiba mipango malengo, I.e,
Familia misingi yake ni mahitaji endelevu pasipo sababu yyte ya ugonjwa au loos ktk kipato,
* Ninamaanisha niheri mume atoe matumizi kulingana na kipato, mahitaji yaliyo ktk badget
*Matumizi ya familia nilazima kila siku kwa maana ya mahitaji endelevu kuwezesha uhai, kwaiyo mbeba jukum atoapo fedha au hitaji lolote lazima iwepo hakiba ya maisha ya badae
  • Kuchomoa elf 20 ktk kibunda Cha lak 4, tafsiri yake Kuna tumaini la kupata elf 20 miaka na miaka kwa kila siku ikiwa inatolewa Kama sehem ya faida kwa fedha iliyo baki, kuliko atoe chote akukabidhi af then what next
  • Soon narudi nikazie kidogo naenda kumpa joto wife 🌹.........
 
Ukiona wewe kika siku ni wakutoa hela ya matumizi sijui wanaita hela ya meza kwamba kila siku lazima uache sijui elfu 20 ya meza hayo maisha siyo.
Kwanini mtu usijipange uwe unanunua vitu vya kutumia angalau kwa wiki nzima?
 

Mwanamme haitakiwi uache hela ya matumizi ya kununua vitu home bali hela kama akiba tu incase of emergency ,inatakiwa ndani kuwe na vitu vya kutumia atleast hata siku 3...vikibakia vya siku 1 kesho unaongezea...hela unayoacha ni kwa ajili ya m/ke kusave na kununua vitu vidogo vidogo ambavyo si vya ulazima etc muha kapitisha hereni/bangili wale tunauza mafuta mazuri ,rangi za ukili na "bangi hili".
 
🤣🤣🤣🤣 Hizi ndoa zina mateso.
Ila jokes aside wee cheusi mangala huwezi pewa pesa sawa na mwanamke mwenye rangi ya mtume bwana..ndio uhalisia wa maisha kubaliana nal hlo
 
.......wema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…