Maya Angelou
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 1,086
- 2,576
- Thread starter
-
- #21
Haiwezekani. Ni rahisi tu kujua kua kama mtu yoyote anakupenda atakupa attention.
Kitu pekee mwanaume anaweza kufanya huku anakupenda ni kua na wanawake wengine zaidi yako na bado anakupenda wewe, hilo tu ndio wanaume tunaweza na tunalimudu bila shida.
Nipo chuchu [emoji1787][emoji1787] mbona unanifokea sasa?
Aiseeh..safi!Mimi ni ME, achana na hizo tashtiti
Huo ndio ukweli, wanaume tukipenda lazima kila mda ucheki mama anaendeleaje...kujua whereabouts n.k[emoji28][emoji28][emoji28]usiniambie asalale
We unahisi kuna ukweli hapo mkuu
Hapana.
Haiwezekani.
Hakupendi hata chembe huyo.
Pole sana..Ukweli mchungu 🤦🏽♀️
Aiseeh..safi!
Shost lazima nikuambie ukweli
Aiseeh...sawaSi unajua tena sisi wakazi wa pwani
Huo ndio ukweli, wanaume tukipenda lazima kila mda ucheki mama anaendeleaje...kujua whereabouts n.k
Kama unampenda mtu, sababu zitazokufanya usiwasiliane naye labda uwe Gerezani au upo kwenye Coma.Hivi inawezekana ukampenda mtu na usiwasiliane nae?Yaani ikapita siku tatu mpaka week?
Inawezekana mwanamke unaempenda usitake kumjulia hali?
Naombeni tu mnisaidie hili jibu
Mtu anakwambia anakupenda ila ukijikausha usimtafute wewe anaweza asikutafute mpaka week anakucheki tena kuna ukweli hapo?
Aiseeh...sawa
Nisikuchoke tena!😳😳Usinichoke lakini
Kama unampenda mtu, sababu zitazokufanya usiwasiliane naye labda uwe Gerezani au upo kwenye Coma.
Hapo we tafuta mchepuko tuu usiumie moyo [emoji23][emoji23]Na mimi nimeshangaa nikajiuliza hii ni style mpya mjini au?
Umejibu vyema kabisa[emoji817]Haiwezekani. Ni rahisi tu kujua kua kama mtu yoyote anakupenda atakupa attention.
Kitu pekee mwanaume anaweza kufanya huku anakupenda ni kua na wanawake wengine zaidi yako na bado anakupenda wewe, hilo tu ndio wanaume tunaweza na tunalimudu bila shida.
Na mimi nimeshangaa nikajiuliza hii ni style mpya mjini au?
Nisikuchoke tena![emoji15][emoji15]