Maya Angelou
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 1,086
- 2,576
- Thread starter
- #21
Haiwezekani. Ni rahisi tu kujua kua kama mtu yoyote anakupenda atakupa attention.
Kitu pekee mwanaume anaweza kufanya huku anakupenda ni kua na wanawake wengine zaidi yako na bado anakupenda wewe, hilo tu ndio wanaume tunaweza na tunalimudu bila shida.
Duh umenichanganya hio paragraph ya mwisho[emoji848]