Wanaume naomba mnisaidie hapa

Wanaume naomba mnisaidie hapa

Haiwezekani. Ni rahisi tu kujua kua kama mtu yoyote anakupenda atakupa attention.

Kitu pekee mwanaume anaweza kufanya huku anakupenda ni kua na wanawake wengine zaidi yako na bado anakupenda wewe, hilo tu ndio wanaume tunaweza na tunalimudu bila shida.

Duh umenichanganya hio paragraph ya mwisho[emoji848]
 
Ila akitaka kula mzigo anakutafuta? Mwenzako ye bidada akitaka pesa anamtafuta anatoa mzigo anachukua nguo tano. Tafutaneni mpozane machungu.
 
Hivi inawezekana ukampenda mtu na usiwasiliane nae?Yaani ikapita siku tatu mpaka week?
Inawezekana mwanamke unaempenda usitake kumjulia hali?
Naombeni tu mnisaidie hili jibu
Mtu anakwambia anakupenda ila ukijikausha usimtafute wewe anaweza asikutafute mpaka week anakucheki tena kuna ukweli hapo?
Kama unampenda mtu, sababu zitazokufanya usiwasiliane naye labda uwe Gerezani au upo kwenye Coma.
 
Na mimi nimeshangaa nikajiuliza hii ni style mpya mjini au?

Me nakwambia usibabaike,

As i told u. kuna wanaume sio active kwenye commmunication kama ameshajenga mahusiano na yamesimama. May be ww utateswa na mazoea kama zamani alikuwa hardly anacontact na ww frequently

Lakini pia inawezekana hakupendi na hawezi kukuambia hakutaki.

so kuna maelezo ya ziada yanahitajika kung’amua scenario yako
 
Back
Top Bottom