Wanaume naomba mnisaidie hapa

Communication ni nguzo ya muhimu sana kwenye mahusiano! Angalau hata kama hupo busy waweza mtext mpenzi wako!

Week moja kavuu seriously? hakuna touch hapo!
 
Hapo hamna kitu.. mwanaume akipenda atafanya juu chini apate muda wa kuwasiliana na mwandani wake..huyo mwanaume hapana.
Sasa huyo akikuweka ndani, akisafiri anaweza kaa mwezi huko bila kupiga simu wala sms kisa upo nyumbani kwake[emoji23]

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 

Mahusiano ni muhimu kwenye relationship? How?
 
Tumeulizwa wanaume we na michepele yako umekurupuka tu huko..

Ila usinichambe..πŸ˜œπŸ™
Endelea kujichanganya tu

Bahati yako umeniomba nisikuchambe vinginevyo,,,ungechezea mchambo hevi sana

Huu uvurugaji ni humu ndani tu KENZY wetu😎
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Endelea kujichanganya tu

Bahati yako umeniomba nisikuchambe vinginevyo,,,ungechezea mchambo hevi sana

Huu uvurugaji ni humu ndani tu KENZY wetu😎
Nakujua haunaga breki..πŸ˜…
Mwanamke unajicho kama ngamia!..

Niache usichambe..πŸ˜œπŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Kwani shida iko wapi? Kwa nini utafutwe tuu. Simu si unayo? Si upigeee? Ua uko bankrupt? Kupenda kuna gharama zake. Acha kujiona wewe wa muhimu zaidi. Tena hujajua nini unataka. Go for what you want.
 
Dalili za mwanamke asie kupenda

1. Hana muda wa kuwasiliana na wewe

2. Kuhusu mzigo atakupiga tarehe mpaka utasahau.

3. Kukufokea

Na nyingine mabaharia wataongeza

Ila ukiona hizo dalili jiongeze.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yupo anayewasiliana naye, MTU unayempenda huwa haiwezi pita siku bila mumuwazia akilini,
 
Nakujua haunaga breki..πŸ˜…
Mwanamke unajicho kama ngamia!..

Niache usichambe..πŸ˜œπŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
Breki ninayo ya kutosha na wala sipendagi makuu KENZY labda kama umeanza kuchanganya madesa.

Jicho kama ngamia tena😳😳😳relax kijana utaharibu atmosphere
 
Breki ninayo ya kutosha na wala sipendagi makuu KENZY labda kama umeanza kuchanganya madesa.

Jicho kama ngamia tena😳😳😳relax kijana utaharibu atmosphere
πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚
Nilikuwa natest zari nione..πŸ˜œπŸ™πŸ™πŸƒπŸƒ
 
πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚
Nilikuwa natest zari nione..πŸ˜œπŸ™πŸ™πŸƒπŸƒ
Ulikuwa unatest nini KENZY .kwa taarifa yako najua kunata na beat..ukija kimiyeyusho na mimi nakuja hivyo hivyo,ukija kibangi bangi na mimi nitakuja kibangi bangi ili unione ni mwenzakoπŸ˜‚πŸ˜‚kumbe nahesabu tofauti na udhanivyo.

Hii ni JF....take it easy man
 
Kuna kitu nataka nikuambie..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…