Charlz ze son conscious
JF-Expert Member
- Aug 22, 2019
- 554
- 848
Communication ni nguzo ya muhimu sana kwenye mahusiano! Angalau hata kama hupo busy waweza mtext mpenzi wako!Hii ni kweli kabisa huyo mtu anakupenda. Sio wanaume wote wapo active kwenye communication. As long as anakupenda na ameridhika na ww basi yeye yupo tuliiiiii ana uhakika na ww.
Shida ipo kwako bibi ww, kimuhemuhe, Roho isiyotulia kama pishi la Bisi, Upo nyonyo....?
Week moja kavuu seriously? hakuna touch hapo!