Nipe namba yako tuanze kuwasiliana hutajutia , kila siku full kukupigia , asubuh ,mchana, jioni na usiku .Hivi inawezekana ukampenda mtu na usiwasiliane naye? Yaani ikapita siku tatu mpaka week? Inawezekana mwanamke unayempenda usitake kumjulia hali?
Naombeni tu mnisaidie hili jibu
Mtu anakwambia anakupenda ila ukijikausha usimtafute wewe anaweza asikutafute mpaka week anakucheki tena kuna ukweli hapo?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]hapa Kuna story nyingine mpya
Best Anko una miaka mingapi?una utoto kama ni kwenye 30 basi una kisafari kirefu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama kukutundikia references ni utoto basi nahisi malecturer bado wananyonya manyonyo, mana wanapenda references balaa [emoji2][emoji2][emoji2]
I agree
Nimeona moshi mapema sana huko mbele kuna moto
Siwezi kuchepuka kwa mchepukaji anakaliwa kimya huyo yupo kwenye ignore list[emoji706],siwezi kuwaza hela alafu nimfikirie na yeye kwanini hanitafuti [emoji35]
Ndio mwanzo si kama tumekuwa kwa mudaa,kila kitu tupo sawa ila hapo tu kwenye mawasiliano,sioni kosa jingine lolote mambo mengine yote yupo sawa
Nione kama mahusiano yapo kweli au nipo peke angu najidanganya
Umenifanya nitafakari
Ni mvivu kuandika hata sms kuandika ni fupi ila kuongea anaweza
Ni sahihi nikimuuliza kulikoni[emoji848]?
Sio sababu ya kuni ignore
Huwa siongelei mipango yangu ya pesa mbele yake
Pesa ni muhimu chief
Kutokana na replies zako huu uzi unakuhusu wewe mschana ambae so hard to tame [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Ni utoto au we ni mgeni wa jf hapa mtu anapost kaolewa leo kesho anaomba ushauri ni mjane keshokutwa ni kigoli ukifatilia sana utajikuta wewe msomaji upo confused ndio kinacho kukuta hapa[emoji3]
Fatilia kuanzia hii post mpaka majibu yangu kwa wachangiaji yanaweza kukupa jibu ya reference ulioweka [emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu usijaze uzi huu ni special kwanini sitafutwi week nzima hio yako rudi kule nikujibie kule
Kutokana na replies zako huu uzi unakuhusu wewe mschana ambae so hard to tame [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Nipe namba yako tuanze kuwasiliana hutajutia , kila siku full kukupigia , asubuh ,mchana, jioni na usiku .
Full doze 1x4
Mpotezee mwezi , hana time na ww
Kila la kheri kwenye kumtafuta mmuduji mpya [emoji846][emoji846][emoji846]Asanteee kwa kushiriki[emoji28][emoji28][emoji28]
Pigania penzi lako, wewe...mie nina totoz humu ila inaweza ikapita hata miezi sijamcheki kwa sms!! ingawa nampenda sana tuu.Duh[emoji848]hapa kuna point,lakini...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapo ndio inaanza kazi kuwatambua nyie viumbe aisee, huwa mnataka nn [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii nayo itakinaisha sasa khee[emoji28][emoji28][emoji28]
Spritual wordsHii ni kweli kabisa huyo mtu anakupenda. Sio wanaume wote wapo active kwenye communication. As long as anakupenda na ameridhika na ww basi yeye yupo tuliiiiii ana uhakika na ww.
Shida ipo kwako bibi ww, kimuhemuhe, Roho isiyotulia kama pishi la Bisi, Upo nyonyo....?
Spritual words
Nahisi nime out talk mzee mkuuNitafsirie
Nahisi nime out talk mzee mkuu
Mzee huyu si mwanaume...mbna unamwita mama Tena au bado ninausingiziiSawa mama lkn pole nahisi leo hauko sawa si wewe huyu hata tu jokes tudogo tudogo unataka kulia mamii..😜😅
Kwa kipindi hichi Cha kampeni mbona ni kawaida wangu hatujawasiliana toka Nchi tuingie uchumi wa Kati nahisi ni kutokana na ubusy lkn Ngoja kampeni ilipita mtawasilina huenda ni mjumbe
Hakupendi huyo....Hivi inawezekana ukampenda mtu na usiwasiliane naye? Yaani ikapita siku tatu mpaka week? Inawezekana mwanamke unayempenda usitake kumjulia hali?
Naombeni tu mnisaidie hili jibu
Mtu anakwambia anakupenda ila ukijikausha usimtafute wewe anaweza asikutafute mpaka week anakucheki tena kuna ukweli hapo?
Mi najua ni mwanamke tena kigoli..Mzee huyu si mwanaume...mbna unamwita mama Tena au bado ninausingizii